Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Classic Public Schools in Dodoma ,Mwanza mtaishia kuziona kwenye tv tuu👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-222926.png
    246.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220912-223015.png
    231 KB · Views: 12
Mamilima hayo yamejaa huko Mwanza na majiwe,nani aje kujenga Viwanda vya maana huko?

Kanda ya Ziwa viwanda vinajengwa Shinyanga na kiasi Kahama.
Kumbe hata mwanza hajawahi fika ..
mwanza Kuna industrial area 7
Nyamhongolo
Buhongwa
Igogo
Nyakato
Ilemela
Buzuruga .
Usagara
Kisesa isangijo
Kote kumejaa viwanda.......
 
Kumbe hata mwanza hajawahi fika ..
mwanza Kuna industrial area 7
Nyamhongolo
Buhongwa
Igogo
Nyakato
Ilemela
Buzuruga .
Usagara
Kisesa isangijo
Kote kumejaa viwanda.......
Usagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..

Au unataka tuseme Mbeya ina industrial area za Songwe Viwandani,Tanganyika packers Mbalizi,Iwambi,Iyunga,Uyole nk?.

Tunazungumzia ndani ya mipaka ya Jiji.
 
Usagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..

Au unataka tuseme Mbeya ina industrial area za Songwe Viwandani,Tanganyika packers Mbalizi,Iwambi,Iyunga,Uyole nk?.

Tunazungumzia ndani ya mipaka ya Jiji.
Kihuduma Usagara na Kisesa ni maeneo ya Jiji. Ndio maana inaundwa Halmashauri ya Kisesa itakayokuwa sehemu ya Jiji itameza Usagara na Kisesa.

Mtu hawezi kutoka Usagara kufuata huduma Misungwi au Kutoka Kisesa kufuata huduma Magu wakati Jiji ni pua na mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka iundwe na zikundwa bado zitakuwa ni Magu na Misungwi Wala haitakuwa Jiji la Mwanza.
 
Kutoka kisesa had mjini mwanza ni sh 500 kufika magu mjini ni sh 2000 kutoka usagara had mjin ni 700 na kutoka usagara had misungwi mjini ni sh 1500 nafikir umeelewa mtu hawez kutoka usagara kwenda misungwi mjini kuhemea sokoni ataenda buhongwa jijini mwanza
 
Usagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..

Au unataka tuseme Mbeya ina industrial area za Songwe Viwandani,Tanganyika packers Mbalizi,Iwambi,Iyunga,Uyole nk?.

Tunazungumzia ndani ya mipaka ya Jiji.
Usijikute unaijua mwanza kuliko sisi wenyeji ....ukisema mipaka ya mwanza city ...iondoe bas na ilemela maana mwanza city ni nyamagana tu ...then hata tukisema tuiweke nyamagana tu bado dodoma haitoboi Kwa viwanda
 
HutAkiwi kumweleza sana ...mwambie hata tuweke nyamagana pekee ..bado dodoma haitoboi
 
Sioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.
 
Sioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.
Sioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.
Dodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazo
1.Watu hawashoboke mji mkuu kama zamani ilivyokuwa Dar
2.Huduma zote za msingi zinapatikana karibu mikoa zote mpka vijijin.
3.Wawekezaji hawawekezi kisiasa wanawekeza kwa kuangalia soko mfano Dodoma kulikuwa na project ya Tbl kujenga kiwanda kikubwa baada ya analysisi project ilicanceliwa ikabaki Mwanza,Dar na mbeya na itabaki hivyo hivyo.Mfano mwingine na coca cola na Pepsi.
4.Mazingira ya majiji husika na location.,Mfano Mwanza ni jiji ambalo sio rahisi kuelezea kwa nmna ya uchumi wake kutokana na diversty ya shughuli zinazofanyika na location yake kitaifa na kimataifa.Ndo maana unaona serikali ufanya miradi kutoka nyuma badala ya kuwa kiongozi hii inasabishwa na kuhitaji kuvuna bila kupanda.
5.Dodoma naserikali lazima wakubali kujenga capital city sio business hub wakijaribu kufanya hivyo watafeli mapema na watatumia gharma kubwa sana hii inatoka kwamba Dar haiko tayari kuachia hiyo fursa wala Arusha hawatakubali kuacha fursa ya utalii kwenda Dodoma na Mwanza hiyo wala hakuna kuongelea kwasababu ina watu wake na wateja wake wafia jiji hata Dubei iamie Tanzania hawawezi kuama.
 
Heheheh, Arusha CBD
 

Attachments

  • IMG_20220913_135149.jpg
    62.5 KB · Views: 14
Complete analyzed
 
Bado sioni mantiki za mada yako kwani ulipoanza sio unachokizungumza kabisa upo inje ya locus. Ukuaji wa majiji Tanzania upo influenced sana na siasa za nchi hii and not naturally kama unavyosemea majiji mengine Duniani. Viwanda hufuata raw resources au wateja, lakini TZ hufuata serikali na utashi wa kichama yaani CCM. Mikoa na majiji mengine yanapambania kuwa majiji wakati miji mingine hupewa kama zawadi bila kuangalia vigezo. TZ mambo ni mengi na muda ni mchache.
 
Majiji yasio na natural growing ni dodoma , mbeya ,.na tanga.. Arusha inakuwa influenced na utalii ,mwanza na biashara ya Kanda ya ziwa ,dar na biashara ya nchi nzim
 
Hata hayo majengo makubwa yaliyojengwa Mwanza miaka michache iliyopita ni msukumu wa Serikali kwa mifuko ya kijamii kuwekeza Mwanza zaidi kwa sababu za kisiasa, watu wengine wamesema Mwanza kuna viwanda vingi na hata kuyataja maeneo yalio nje ya jiji la mwanza sijui labda vile vya awamu iliyopita. Kwa kuwa TZ maendeleo ya mahali hutegemea sana serikali kuu then Dodoma stand a big chance of becoming a big city than Mwanza in a very short time let you be informed.
 
Majiji yasio na natural growing ni dodoma , mbeya ,.na tanga.. Arusha inakuwa influenced na utalii ,mwanza na biashara ya Kanda ya ziwa ,dar na biashara ya nchi nzim
Nionavyo mimi kwa kanda hiyo pendwa Kigoma stands even a better chance than Mwanza time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…