Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

At this factors dodoma has a little chance to overtake mwanza .
1 population growth rate ..
Mwaka 2002 mwanza ilikuwa na watu laki nne ,mwaka 2012 ilikuwa na watu laki Saba ongezeko ni la watu laki 3 Kila baada ya miaka kumi ...2022 mwanza itakuwa na watu zaidi ya 1000000 ...na ongezeko la watu linatokana fursa za kiuchumi ambazo zinavutia watu kutoka maeneo tofauti ya Kanda ya ziwa kuja kutafta maisha mwanza ....
2 economic diversity
mwanza Ina opportunity nyingi za kiuchumi ambazo zinavutia wawekezaji kuja kuwekeza mwanza . tofauti na dodoma ambayo Iko service based opportunity only...
Kuanzia fishing, manufacturing, agriculture,trade,and transport corridor.
 
Imenikumbusha historia ya nchi ya Belgium iliyopo Ulaya miaka kama 60 na kuendelea iliyopita Southern Belgium was the richest part of that Country. Nenda sasa North Belgium is the richest part of that Country why Miaka hiyo iliyopita South walikuwa na madini mengi sana sasa hivi migodi yote imefungwa na North sasa ndio matajiri na wanaiendesha nchi kiuchumi. Kwa hiyo ndugu hiyo migodi ya dhahabu iliyopo sasa haitakuwepo na hata hivyo mchango wake kwenye pato la taifa bado upo chini sana, kingine Pamba imekufa, samaki mhuuu not a very big trade though kipi kingine Kahawa ya Bukoba wanapigania kuiuza Uganda!!!. Sasa tushikamane na kuachana na hizi siasa za kikanda kwanza halitasaidia kabisa.
 
Population alone has never been a driving force in the economic growth. Kuongeza kuzaa tu bila mikakati maalum ya kuwasomesha mkidhani mtakuwa kama china/India huku mkiwa na mabongo lala haita saidia hata kidogo. Even the investors hawaangalii only population bro is more than that, illiterate rate, purchasing power ya watu husika and so on. Usipotoshe umma.
 
Don't compare Belgium na Tanzania..kwanza unatakiwa ujue tunapozungumzia Kanda ya ziwa ,,ni asilimia 25 ya uchumi wa nchi hii...
Hata hvyo mwanza haikui Kwa dhahabu tu Bali ,,,kutokana kuwa strategic center ya nchi za maziwa makuu .. yaani mwanza now days Ina trade na nchi 5 Kenya ,Uganda, Rwanda, Burundi na DRC ..
.Kwa hyo bado mwanza itaendelea kuwa the leading strategic town in ports of lake Victoria
 
Ukisema investors hawaangaliii population,utakuwa chizi .....unawezaje kuwa na market pasipo population..trade yoyote inategemea population.swala la elimu kuwa chini ni pathetic comments..
Kanda ya ziwa now day ni one of the leading destination for education purpose
 
Unaposema wanaangalia purchasing power ..nakubaliana na wewe. Lakin lazima unipe factor kwanini dodoma yenye high purchasing power,haina viwanda,Wala major private sector investment.
 
Nafiki tunazungumzia kwenye different level of understanding, hebu tupe facts zinazobeba hoja zako. Sijui investment zipi au trade zipi na nchi jirani. (mapanki ya samaki kwenda DRC?) Huko Mwanza labda food processing factories not actual heavy industries. Mostly investor shall go for Coastal regions like Dar es Salaam, Tanga or Mtwara not Mwanza though.
 
Unaposema wanaangalia purchasing power ..nakubaliana na wewe. Lakin lazima unipe factor kwanini dodoma yenye high purchasing power,haina viwanda,Wala major private sector investment.
My friend Dodoma imekuwa Jiji na makao makuu ya serikali juzi tu unalinganisha na Mwanza iliyopata jiji miaka mingi iliyopita sikuelewi. Ipe muda, muda utasema. Kuwa na magorifa Mwanza haijustify Mwanza kuizidi Dodoma in long term bro.
 
Siitakii Mwanza na kanda yenu mabaya hapana usinielewe hivyo. Ila mimi ningependa Kanda yenu na kanda zingine zote zipewe utawala wa majimbo na waruhusiwe kujiendesha na kubuni maendeleo yao bila kuingiliwa na Serikali kuu katika mapato yoa na kuruhusiwa kujiendesha nchi hii itakuwa kama South Africa in 20 years. Kitendo cha kucentralise everything in one bascket na kuanza kugawa kwa utashi wa kisiasa huko ndio kunakodidimiza baathi ya maeneo ya nchi hii ikiwemo kanda yenu pendwa.
 
Hoja yako ni logic ,,,na hii itademonsttrate how baadhi ya maeneo yatasuffocate ..
 
My friend Dodoma imekuwa Jiji na makao makuu ya serikali juzi tu unalinganisha na Mwanza iliyopata jiji miaka mingi iliyopita sikuelewi. Ipe muda, muda utasema. Kuwa na magorifa Mwanza haijustify Mwanza kuizidi Dodoma in long term bro.
Acha kuleta unrealistic points.. dodoma imetangazwa makao makuu miaka ya 70s ..... serikali haina major investment Zaid ya public service project...
Na kama makao makuu yangekuwa ni factor ya mji kuwa superior than others.we could have seen Abuja overtaking Lagos au
Beijing kuizid Shanghai...
Jiji lolote Duniani linagrow Kwa sababu ya trade, population,na investment especially private sector
 
Mwanza Kuna steel manufacturing 3 ,Kuna plastic processing industry,Kuna metal and drilling industry, Kuna hardware industry kama waja mabati ...hizo zote ni manufacturing ambazo sio light industry na zinafanya export nje ya nchi na ndani ya nchi
 
Hyo milioni Moja ni nyamagana tu kpnd tupo kwny semina sensa mkuu wa wilaya ya nyamagana alisema inakadiriwa watu wanaokuwepo nyamagana mida ya asubuh kuelekea jion huwa ni 1.6m so ngoja tuone sensa ya mwaka huu mm nimefanya kata ya Buhongwa kwny mtaa tulipewa makadirio ya kuhesabu kaya 760 lakin tumehesabu kaya 940
 
Halafu watu wengi wanaotafuta fulsa Dodoma huwa hawaishi parmanent wengi wao tofaut na mwanza kila siku ukienda pale nyegezi stand utakuta watu wametoka mikoa tofaut kuja mwanza kutafuta fulsa na hawana ndugu wala nn
 
Halafu watu wengi wanaotafuta fulsa Dodoma huwa hawaishi parmanent wengi wao tofaut na mwanza kila siku ukienda pale nyegezi stand utakuta watu wametoka mikoa tofaut kuja mwanza kutafuta fulsa na hawana ndugu wala nn
Watu wa singida,,,hawako attracted na dodoma sembuse wengine..dodoma ilitakiwa kuwa influential city ya Kanda ya kati ,,lakin Cha ajabu singida wanaenda Arusha,au mwanza na kahama..iringa wanaenda dar ,manyara ndo kabisa .. tabora haina hata muda ..
 
Uliniambia nisizungumzie context ya Europe wewe umeleta za nchi nyingine, kumbuka nchi hizo haziendeshi maendeleo yao kama sisi, we are politically driven not economically bro. We are debating on the same ground ila unaonekana una ubishi wa simba na yanga hilo ndio shida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…