Any government projects are service oriented,rather than profit oriented..These are quick wins za awamu pendwa, tuone how the Country can reap more tax (quick returns) from these investments. Mungu ibariki Tanzania.
So what's your context my dear friend.. accepting the truth is rare gift owned by fewUliniambia nisizungumzie context ya Europe wewe umeleta za nchi nyingine, kumbuka nchi hizo haziendeshi maendeleo yao kama sisi, we are politically driven not economically bro. We are debating on the same ground ila unaonekana una ubishi wa simba na yanga hilo ndio shida tu.
Unapotoa hiyo mifano ya capital city za baadhi ya Nchi usijisahaulishe kwamba Dodoma imekuwa Mji unaokua toka kabla ya kuwa Makao makuu ya Nchi..Dodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazo
1.Watu hawashoboke mji mkuu kama zamani ilivyokuwa Dar
2.Huduma zote za msingi zinapatikana karibu mikoa zote mpka vijijin.
3.Wawekezaji hawawekezi kisiasa wanawekeza kwa kuangalia soko mfano Dodoma kulikuwa na project ya Tbl kujenga kiwanda kikubwa baada ya analysisi project ilicanceliwa ikabaki Mwanza,Dar na mbeya na itabaki hivyo hivyo.Mfano mwingine na coca cola na Pepsi.
4.Mazingira ya majiji husika na location.,Mfano Mwanza ni jiji ambalo sio rahisi kuelezea kwa nmna ya uchumi wake kutokana na diversty ya shughuli zinazofanyika na location yake kitaifa na kimataifa.Ndo maana unaona serikali ufanya miradi kutoka nyuma badala ya kuwa kiongozi hii inasabishwa na kuhitaji kuvuna bila kupanda.
5.Dodoma naserikali lazima wakubali kujenga capital city sio business hub wakijaribu kufanya hivyo watafeli mapema na watatumia gharma kubwa sana hii inatoka kwamba Dar haiko tayari kuachia hiyo fursa wala Arusha hawatakubali kuacha fursa ya utalii kwenda Dodoma na Mwanza hiyo wala hakuna kuongelea kwasababu ina watu wake na wateja wake wafia jiji hata Dubei iamie Tanzania hawawezi kuama.
Huu ujinga huwa mnakaa nao Ili uwasaidie nini hasa?At this factors dodoma has a little chance to overtake mwanza .
1 population growth rate ..
Mwaka 2002 mwanza ilikuwa na watu laki nne ,mwaka 2012 ilikuwa na watu laki Saba ongezeko ni la watu laki 3 Kila baada ya miaka kumi ...2022 mwanza itakuwa na watu zaidi ya 1000000 ...na ongezeko la watu linatokana fursa za kiuchumi ambazo zinavutia watu kutoka maeneo tofauti ya Kanda ya ziwa kuja kutafta maisha mwanza ....
2 economic diversity
mwanza Ina opportunity nyingi za kiuchumi ambazo zinavutia wawekezaji kuja kuwekeza mwanza . tofauti na dodoma ambayo Iko service based opportunity only...
Kuanzia fishing, manufacturing, agriculture,trade,and transport corridor.
Wanaenda Arusha kufuata vile ambavyo havipo Dodoma..Watu wa singida,,,hawako attracted na dodoma sembuse wengine..dodoma ilitakiwa kuwa influential city ya Kanda ya kati ,,lakin Cha ajabu singida wanaenda Arusha,au mwanza na kahama..iringa wanaenda dar ,manyara ndo kabisa .. tabora haina hata muda ..
Serikali inapoimalisha hizo huduma inarahisisha mazingira ya uwekezaji sonusijitoe ufahamu.Any government projects are service oriented,rather than profit oriented..
Hizo suala za tax ,sijui levies ni secondary factors .. primary factor ni service
Unapoongea bila figure inakuwa nonsense . general income ya mkoa dodoma hamko hta top ten hampo ..unaposema mapato ya halmashauri ni alama ya utajiri.unakuwa ni chizi unayejua kusoma .Huu ujinga huwa mnakaa nao Ili uwasaidie nini hasa?
Unataka popn growth ya Mwanza ika ya Dom huitaji,am sure Dom inaweza kuwa na wakazi kama 700k kutoka 400k so hili ongezeko mainly la watu wa middle income ni la maana zaidi kuliko ongezeko la huko Mwanza ambako sehemu kubwa ni kuzaliana na kuongeza maskini ndio maana hata mapato ya Jiji plus TRA mnazdiwa na Dodoma..
Pili Dom stand a good chance ya kuwa na viwanda kuliko Mwanza na vinajengwa vingi tuu as we speak kwa sababu ya ardhi ya tambarare,consumption power ya watu wake na location yake inafanya kuwa distribution center kwa maeneo yote na mwisho Ardhi ya kutosha ya kilimo Cha umwagiliaji,Mwanza ni stress tupu..
Sasa aliyekuambia serikali unaweka huduma dodoma tu ni nani ..sema Kuna project ambazo mwanza zitakuwepo ila dodoma Hadi yesu arudi ....Serikali inapoimalisha hizo huduma inarahisisha mazingira ya uwekezaji sonusijitoe ufahamu.
Kama project ipi?Sasa aliyekuambia serikali unaweka huduma dodoma tu ni nani ..sema Kuna project ambazo mwanza zitakuwepo ila dodoma Hadi yesu arudi ....
Figures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..Unapoongea bila figure inakuwa nonsense . general income ya mkoa dodoma hamko hta top ten hampo ..unaposema mapato ya halmashauri ni alama ya utajiri.unakuwa ni chizi unayejua kusoma .
Nenda darasa la uchumi kwanza ndo uje tuendelee na mjadala
Tushakuambia hvi Kwa factor hiz dodoma Ina little chance ya kuiover take mwanza
1: economic diversity (ziwa,fertile land,madini,trade,na industrazation) (rejea figure za nbs ya mwaka 2020 ,2021.
2 population (market potential, factor for investment)
3 geographic position (hub ya great lakes)
4 diversity infrastructure (rail,ports,roads and air)
Kama hizo meli ndio zinakupa kiwewe,saizi tunavyoongea Mwanza ingeshakuwa imeizidi Kigali au Arusha..Kama hzi[emoji116]View attachment 2356486View attachment 2356487
Wewe unamatatizo ya akili tunakoelekea tunakuachia hii thread hatuwezi kuendelea kudescuss issue za msingi na kichaa.Toka lini Arusha ikaizidi Mwanza kwa kila kitu??.Hiyo kigali inaizidi ni Mwanza zaidi ya sifa ya usafi??Kumbe huna unalojua kuhusu Mwanza zaidi ya ushabiki.Hilo ziwa na hizo meli ndo uchumi wa mwanza na Tanzania.Ndo kinafanya Mwanza kuwa second largest city after Dar es salaam mpaka leo toka enzi za muingereza.Kama hizo meli ndio zinakupa kiwewe,saizi tunavyoongea Mwanza ingeshakuwa imeizidi Kigali au Arusha..
Unataka wachimbe Ziwa Dom? ππ
Nimekaa dodoma miaka 3 naijuA vizuri.. fertile land Gani iliyopo dodoma.. kwanza mwanza hujafika ...Kwa taarifa yako mwanza wilaya zake zote ni tambalale isipokiwa baadhi ya maeneo wilaya ya nyamagana .. climate ya dodoma ni worseFigures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..
1.Economic diversification ipi ambayo iko Mwanza na Dom hakuna? Ushahidi uko wapi?Kati ya Mwanza na Dom wapi kuna ardhi ya kutosha na fertile? Viwanda vinajengwa kila uchwara vikiwemo hadi vya kusafisha dhahabu..
2.Wapi hakuna population? Population ya Mwanza ni Kubwa ila ya poor people,ila Population ya Dom ina high consumption power Sasa wapi investors wataenda?
3.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hub of EAC hata Bujumbura na Kisumu ni kubwa na economically powerful Sasa huo u hub uko wapi?
4.Ona huyu kima,kwa hiyo hizo modes za Transport hazipo Dodoma? Ukiacha usafiri wa Majini kipi nyie Mwanza Mnaweza kukojoa kwa Dodoma? [emoji2][emoji2]..
Acha kuchekesha.
Shida yako unalopoka tu si ajabu hata hiyo bujumbula na kisumu unazisikia tu kwenye redio.Hiyo bujumbula unayoisema haifiki hata robo ya mwanza kwa kila kitu.Hiyo kisumu na bujumbula wamejazana Mwanza kilasiku kununua bidhaa na ndo maana SGR inapita Dodoma kuja Mwanza ndo kituo kikuu na Dry port inajengwa mwanza badala ya kujengwa isaka.Figures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..
1.Economic diversification ipi ambayo iko Mwanza na Dom hakuna? Ushahidi uko wapi?Kati ya Mwanza na Dom wapi kuna ardhi ya kutosha na fertile? Viwanda vinajengwa kila uchwara vikiwemo hadi vya kusafisha dhahabu..
2.Wapi hakuna population? Population ya Mwanza ni Kubwa ila ya poor people,ila Population ya Dom ina high consumption power Sasa wapi investors wataenda?
3.ππππ Hub of EAC hata Bujumbura na Kisumu ni kubwa na economically powerful Sasa huo u hub uko wapi?
4.Ona huyu kima,kwa hiyo hizo modes za Transport hazipo Dodoma? Ukiacha usafiri wa Majini kipi nyie Mwanza Mnaweza kukojoa kwa Dodoma? ππ..
Acha kuchekesha.
Mwanza inakuwa na stand bora 2 za mabus masoko 4 ya kisasa wakat Dodoma hata soko la ndugai halijajaaπππThe future is more bright View attachment 2356477View attachment 2356479
Hii project ya kigongo busisi Dodoma wanaionea mwanza gere kabisaKama hzi[emoji116]View attachment 2356486View attachment 2356487