Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Block farming sio mradi wa maana? Ni sawa na soko? Akili huna
Hamuwez izid mwanza hata mnye mwanza inakua kwelikweli ni miongon mwa miji top 10 inayokua baran
Anapima uchumi kwa ushuru wa chooni anashindwa kujua kuwa mwanza haina stand wala soko kuu yote yamevunjwa hv kwanza Dodoma wilaya zake nyingi zipo hoi sana
 
Zile project kubwa kama Daraja la busisi,reli sgr yakiisha hata Dar nayo ijipange
 
Tumieni akili zenu hata kidogo, ukiendekeza ubishi utaonekana hauna akili mwanza huwezi linganisha na dodoma ambayo imepata hadhi ya kuwa Jiji kwa huruma ya magufuli majuzi hapa. Kuweni na akili la sivyo utakuwa unatumia PC ama smart phone hata haujui matumizi yake.
 
Kaka acha kuuliza kote huko Hawa watakuletea proposals ambazo kila mahala zipo kibao. Kuna mtu humu ni fala kweli kama jina lake
Kuna mgogo mmoja mjinga alikuwa anasema et kigongo busisi ni mrad ambao hauna maana nikamwambia tulia ndizi ipenye πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mwanza inashambulia kila mtaa ujenzi ni balaa Dodoma utakuta wanawajengea jengo ukiangalia eneo karibu na hayo majengo ni mapori hakuna aliyejenga mwngne
Majengo ya serikali yote ,,,
Nimekaa dodoma ,eneo lenye majengo ya maana ,liko nje ya mji ,huko ni ofisi za wizara tu ..ukija eneo la medeli pale majengo yote ni ya serikali.kuanzia kambarage tower, Treasury square,jakaya kikwete convention,ukaguzi house, NHIF,station ya sgr, takwimu house,na kituo Cha haki jumuishi ,pamoja na jengo Moja sijajua ni taasisi Gani lipo pale njia ya NHIF .
Ukija pale mjini center Kuna Majengo mawili marefu ,,Moja ni hotel ya halmashauri na lingine ni makao makuu ya PSSSF ....
waambie walete jengo Moja la maana hata apartment ya mtu binafsi kama wenzao hapa [emoji116][emoji116]
 
Kuna mgogo mmoja mjinga alikuwa anasema et kigongo busisi ni mrad ambao hauna maana nikamwambia tulia ndizi ipenye πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Huwa hawasemi mema kwa projects zetu. Labda pigeni na projects ambazo ziko proposed ili waone kuwa hata kesho wanayofikiria yatakuwa kigezo Chao kusema miji Yao itakuwa mizuri zaidi kuwa wanajidanganya. Nikihamia hapa nitavuruga acha niwe mtazamaji tu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Serikali ingetumia hizo pesa kuwajengea maghorofa watu wa Mwanza kama haya hapa chini maana nyumba za Bei nafuu za Dom haziwezi kufanana na haya maghorofa ya watu wa Mwanza wenye hela πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220917-200435.png
    301.2 KB · Views: 8
Hicho kijamaa kimezoea kukaa vijiweni kubeti na kubishana kuhusu Mabasi.

Ndio maana kinapenda kubishana kuliko kula. Kiko tayari kulinganisha mji wowote na Mwanza ilimradi ubishi tu.
Mwanza kunazidi kunoga 🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-200340.png
    298.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220917-200405.png
    335.8 KB · Views: 10
Quality ya life haipimwi kwa GDP..

Dodoma ina watu wenye maisha Bora kuliko hao wa slums za huko Mwanza..

Ndio maana unaona kuna real estates kibao za serikali na watu binafsi wanajenga majumba na wanauzia watu..
 
Acha kelele zisizo na maana Wala ambazo hazitaweza kuisaidia Mwanza big slum..

Dom real estates πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-085052.png
    222.7 KB · Views: 11
  • FcSCuuwWAAAHixW.jpeg
    63.7 KB · Views: 10
Mwanza inashambulia kila mtaa ujenzi ni balaa Dodoma utakuta wanawajengea jengo ukiangalia eneo karibu na hayo majengo ni mapori hakuna aliyejenga mwngne
Dom sio slum city kama Mwanza,elewa hilo every development is in order..

Dom inakaliwa na middle income sio maskini na washamba hao ndio huishi hovyo hovyo na sehemu yao ni Mwanza na Kahama.
 
Wewe ndio Mjinga,ni Tzn pekee ndio linaloitwa Jiji la pili Kwa ukubwa linaongoza kwa idadi ya maskini, barabara hakuna,full slums na Hilo Hilo Jiji la kipuuzi linazidiwa Mapato nya Jiji..

Sasa Hilo ni Jiji au upuuzi? Wakazi wake hawana vyoo wanakunya ziwani 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…