Majengo ya serikali yote ,,,
Nimekaa dodoma ,eneo lenye majengo ya maana ,liko nje ya mji ,huko ni ofisi za wizara tu ..ukija eneo la medeli pale majengo yote ni ya serikali.kuanzia kambarage tower, Treasury square,jakaya kikwete convention,ukaguzi house, NHIF,station ya sgr, takwimu house,na kituo Cha haki jumuishi ,pamoja na jengo Moja sijajua ni taasisi Gani lipo pale njia ya NHIF .
Ukija pale mjini center Kuna Majengo mawili marefu ,,Moja ni hotel ya halmashauri na lingine ni makao makuu ya PSSSF ....
waambie walete jengo Moja la maana hata apartment ya mtu binafsi kama wenzao hapa [emoji116][emoji116]
View attachment 2359863View attachment 2359864View attachment 2359865