No excuse hapa ....Leo huchomoki ....hatuna haja na hadithi. Zako dOzi haijakutosha[emoji116][emoji116]...Mwanza ni aibu tupu,huto tujengo tumesungukwa na mauchafu disorganized City [emoji51][emoji51]..
Huwezi nikuta naisha kwenye miji ya kifala.kama Mwenza Mji kama zizi la ng'ombe [emoji23][emoji23]..
Mwanza na Mbeya no difference kabisaa.
Maskinj anarudia tujengo tule tule [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee Leo umepatwa ..Sindano ni Kali .mno nimekauambia uniletee vilas umeshindwa bas niletee financial district yenu [emoji116][emoji116]..Naongea wivu Dodoma sio Mwanza maana hakuna Cha kuonea wivu hapo..
Dodoma [emoji116]
Usilinganishe mwanza na upuuzi wa kwenu huko [emoji116]Mwanza ni aibu tupu,huto tujengo tumesungukwa na mauchafu disorganized City [emoji51][emoji51]..
Huwezi nikuta naisha kwenye miji ya kifala.kama Mwenza Mji kama zizi la ng'ombe [emoji23][emoji23]..
Mwanza na Mbeya no difference kabisaa.
Umeyamaliza wapi ..vizahanati vyako vya uchwaraUmeanza utoto,hii ya private hospitals tulishaimaliza humu ndani sihitaji kurudia.
Hapo bado haujamuonyesha nyegezi😄😄😄😄The second most impressive bus terminal in tz ...the inward appearance...
Ndani ya manispaa ya ilemela... huku public transportation ni next level.. unaweza post ndani ya stendi ya nanenane [emoji16][emoji16][emoji16]..picha ya mwisho ni underground/basement parking View attachment 2386262View attachment 2386263View attachment 2386264View attachment 2386265View attachment 2386266View attachment 2386267
🙏🙏Dodoma ina kata 41 ilemela kata 19 lakin inazidiwa population na ilemela
Uwe unataja na mahali ziliko ili tukija na gari la mbio za Mwenge tukazione live..Moja ya capital city za ajabu na aibu Duniani ...they can't even copy Lilongwe au Bujumbura Burundi ... MWANZA sio size yenu mazee[emoji116]
Hizi sio government funded estate..hiz private owned[emoji116]View attachment 2359029View attachment 2359030View attachment 2359031View attachment 2359032View attachment 2359033
Hizi ligi huwa nazipenda xn kwasababu zinafurahisha na kuchangamsha, pia tunajifunza na kupata elimu mbalimbali humu.Nyie mnabishana humu wote ni WATANZANIA au?
Mnapenda ligi sana aisee, natamani TAMISEMI wawaunge mkono kwenye hizi ligi zenu ili wayafanyie kazi mapungufu..
Aitoe wapi?Maskinj anarudia tujengo tule tule [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee Leo umepatwa ..Sindano ni Kali .mno nimekauambia uniletee vilas umeshindwa bas niletee financial district yenu [emoji116][emoji116]..View attachment 2386412View attachment 2386413View attachment 2386414
Wingi wa kata sio sababu Mwanza ina 546km² na Dodoma inazaid ya 2000km² but bado mwanza ipo more urbanised kuliko Dodoma kwan Dodoma inaeneo kubwa lakin eneo lililo urbanised ni less than 100km²Dodoma ina kata 41 ilemela kata 19 lakin inazidiwa population na ilemela
Yaani kiufupi Dodoma bado ni machaka na misitu ya mibuyu, ndio maana sikushangaa Tembo walivyoibukia UdomWingi wa kata sio sababu Mwanza ina 546km² na Dodoma inazaid ya 2000km² but bado mwanza ipo more urbanised kuliko Dodoma kwan Dodoma inaeneo kubwa lakin eneo lililo urbanised ni less than 100km²
Nyegezi international bus terminus
Yaani daraja likikamilika tutegemee bus za Kigali - MwanzaNyegezi international bus terminus
Dodoma ni Jiji planned sio zizi..Tanzania inajivunia Majiji 3 tuu bayo ni,Yaani kiufupi Dodoma bado ni machaka na misitu ya mibuyu, ndio maana sikushangaa Tembo walivyoibukia Udom
Huoni aibu kupost marudio [emoji28][emoji28][emoji28]Mwanza ni Kijiji cha hovyo wanastahili kuishi watu wasio wastaarabu maana kuko.kama zizi..
Dom [emoji116]
...Dodoma ni Jiji planned sio zizi..Tanzania inajivunia Majiji 3 tuu bayo ni,
Dar,
Dom,
Arusha..
Huko kwingine ni mkusanyoko wa watu na slums tuu.