Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Safi sana ata mimi huwa najifikiri kuhusu hii kitu nazidi kuwaza muda mwingine naona wakazi karibu wote wa Dodoma ni maskini ndo maana hakuna project za mtu binafsi au taasisi kwasababu kila kitu wanajengewa na serikali iwe makazi ya kuishi, hotel etc je siku hizi miradi ikiishi dodoma itapata kweli mtu au watuwakuindeleza, Dodoma kwa Mwanza bado wanasafari ndefu, nawapongeza kwa kujengewa miundombinu ya barabara tu wanaweza kuwa better kwa baadae.Wagogo mnatutia aibu, yaani kijiji cha Dodoma unakilinganisha na Nairobi?
Halafu kwa mkae mkijua kuwa sasa hivi Dodoma imesimama kuendelezwa miradi ilyopo ikiisha tu ndo basi tena.
Lakini Mwanza inajengwa kila siku na haitegemei serikali wananchi wake wanajiweza.
Mpaka kufikia 2030 Mwanza itaipita Dodoma zaidi ya sasa hivi kwa sababu kuna muda utafika Serikali itamaliza miradi yake na wananchi wa Dodoma hawawezi kujenga miradi mikubwa kama maghorofa kuanzia 10 floors.
Kwa sasa kuna mwekezaji Mwanza mzawa anataka kuanza kujenga Mall ya 19floors.