love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Wagogo bhana..halafu wala hawakutakiwa wa battle na Mwanza wao walitakiwa waiambie serikali yao sababu serikali yao ndio inatambua kwamba Mwanza ni second city tanzania nzima hii, na kila mtu analitambua hilo na hata wagogo wenyewe wanalitambua hilo na kama hawajui Mwanza ni City tangu mwaka 2000 uko sasa hawa wamekuja kutangazwa juzi tu tena zile zilikuwa siasa tu leo hii eti wana battle aisee wanatia hasira sana hawa omba omba! magu kachukua nchi mwaka 2015 baadae kwasababu ya politics akaamua kuwapa wagogo heshima tu ya kuifanya dodoma kuwa jiji, wakati mwanza imekuwa jiji kabla hata ya wagogo wengine umu wanaokimbilia kuchangia mada hawajazaliwa...sababu mwanza kuwa jiji no zaid ya miaka 22 iliyopita uko wakati dodoma omekuwa jiji miaka 5 iliyopita
Tumewasifu kukimbia sasa wamepapita kwao.