Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

halafu wala hawakutakiwa wa battle na Mwanza wao walitakiwa waiambie serikali yao sababu serikali yao ndio inatambua kwamba Mwanza ni second city tanzania nzima hii, na kila mtu analitambua hilo na hata wagogo wenyewe wanalitambua hilo na kama hawajui Mwanza ni City tangu mwaka 2000 uko sasa hawa wamekuja kutangazwa juzi tu tena zile zilikuwa siasa tu leo hii eti wana battle aisee wanatia hasira sana hawa omba omba! magu kachukua nchi mwaka 2015 baadae kwasababu ya politics akaamua kuwapa wagogo heshima tu ya kuifanya dodoma kuwa jiji, wakati mwanza imekuwa jiji kabla hata ya wagogo wengine umu wanaokimbilia kuchangia mada hawajazaliwa...sababu mwanza kuwa jiji no zaid ya miaka 22 iliyopita uko wakati dodoma omekuwa jiji miaka 5 iliyopita
Wagogo bhana..
Tumewasifu kukimbia sasa wamepapita kwao.
 
Screenshot_20220115-095650.png

Karibuni mza wagogo
 
Wagogo bhana..
Tumewasifu kukimbia sasa wamepapita kwao.
wakajambe mbele uko.....sijui nani aliyewadanganya jaman! hawajui kama uyu jamaa aliyeanzisha hili battle alikuwa na nia tu ya kutaka bandiko lake liwe na comment nyingi wao wamejaa kweli wakiamin bandiko la jamaa ni la kweli! we mwanza imetangulia zaid ya miaka 22 uko eti nyie juz tu hata miaka 6 hamna mnataka battle, ukiangalia mji wenyewe kama jangwa vile hamna kivutio chochote cha maana lakini bado tu mnapata ujasir wa ku battle na jiji ambalo lina
  • hali ya hewa fresh
  • tunalima mazao karibu yote
  • tunachimba madini
  • tunafuga
  • tunavua
  • tuna usafir wa majin
boti , meli & ferry za kutosha
  • uwanja wa ndege tofauti na wenu
  • viwanda vya kutosha tofauti na ugogoni uko
mwanza ndio jiji pekee linalosafirisha minofu nje ya nchi kuna wagogo wengine nadhan mlikuwa bado hamjazaliwa kulikuwa na ile kashfa ya mapank ambayo ili trend dunia nzima sasa ile kashfa ilikuwa madege makubwa yanatua mwanza na kusafirisha Minofu ya sangara nje ya nchi sasa tangu kipindi iyo Mwanza bado inatamba kama jiji, inasikitisha wagogo juzi tu utawala wa magu nao wamepandishwa hadhi kipolitics tu kwa sababu dodoma ndio mji wa kiserikali bas wanaanza battle eti na jiji ambalo kitambo tu limetawadhwa. acheni ushamba wenu wagogo mwanza sio saizi yenu
 
hata Chuga hawaigusi hao wanashindana na the green city...chuga kwa sasa wapo mbali sana ...kwa ufupi serikali imejitahid kuipigania dodoma mpaka kufikia pale ...na magu alifanya vile kama hisan na kuifichia nchi sababu mji wa kiserikali haukupaswa kuwa vile na ndio maana akaelekeza nguvu pale ....ila kwa sasa ameshafariki serikali itahamia dar tena kama mnabisha mtaniambia...si umeona wameshaanza kufanya balaa tena dar... kama lile soko la kariakoo tayar ujenzi wa international shopping mall unaanza kwaiyo nguvu sasa inaelekea dar na waliowekeza dom akili inaanza kuwarudia! wengi waliwekeza dom wakiamini washua wote waliokuwa wanaishi ostabay na masaki wanahamia dodoma...lakin kwa sasa mjomba ameshafariki ma don wote wanarudi za mjini sasa sijui hayo iyo miradi ya kwenye makaratas itakuwaje kwa hapo baadae.sasa hv nguvu imerud dar tena...kama kuna mkongwe yeyote umu wa kigogo muulizen anaujua ule mziki wa boys to men? kama anaujua ndio umeshika hatamu hv sasa sio zamu ya wagogo tena sasa hv ni zamu ya Dar, Pwani & Zanzibar bora hata ya The rock city ilikuwa haitegemei bakuli toka kwa mtu yeyote tu asili ya Ngosha ni kuvimba mwenyewe kufanya kazi....!! MWANZA my city of gallery!!
 
Unaongelea dodoma ip?
Iliyopewa hadhi ya jiji na Magufuli juzi kwa lazma bila vigezo?
usiongelee kisbabiki mgogo...sasa kikwete ndio kaipandisha dodoma kuwa hadhi ya jiji? magu ndio kaipandisha dosoma kuwa hadhi ya jiji...sasa kama magu ndio kaipandisha jiulize magu kachukua nchi mwaka gani? na je ! baada ya kuchukua nchi lini akaitangaza dodoma kuwa jiji? maana unataka kubisha kishabiki, magu kachukua nchi 2015 au unabisha? sasa si ni miaka ya hv karibun? au unataka kuniambia ni miaka mingi hiyo? ukae ukijua dodoma ni makao makuu ya chama na serikali kifupi unajulikana kama ni mji wa kiserikali na kama ni mji wa kiserikali halafu ulikuwa vile magu akaona kama ni aibu kwa nchi, ndio akaamua kuelekeza nguvu pale ili kuifichia nchi aibu, sasa leo hii magu aliyekuwa anaikingia kifua hayupo...nchi imerudi mikononi mwa boys to men ujue dodoma mtaandika tu historia maana nguvu kwa sasa ni Dar, mkoa wa Pwani na Zanzibar kama unabisha utakuja nambie na ndio maana umeskia ujenzi wa bandar kavu unarudi bagamoyo, soko la kariakoo inatengenezwa shopping mall ya komataifa, vituo vya afya na mashule makali yanajengwa zanzibar nk kwaiyo kwa sasa akina matonya hamna chenu ivyo mnavyotambia na kujifanya mna battle na mwanza vitachoka hata namna ya kuviendeleza mtakwama! ma Don wapo on the way kurud dar
 
wakajambe mbele uko.....sijui nani aliyewadanganya jaman! hawajui kama uyu jamaa aliyeanzisha hili battle alikuwa na nia tu ya kutaka bandiko lake liwe na comment nyingi wao wamejaa kweli wakiamin bandiko la jamaa ni la kweli! we mwanza imetangulia zaid ya miaka 22 uko eti nyie juz tu hata miaka 6 hamna mnataka battle, ukiangalia mji wenyewe kama jangwa vile hamna kivutio chochote cha maana lakini bado tu mnapata ujasir wa ku battle na jiji ambalo lina
  • hali ya hewa fresh
  • tunalima mazao karibu yote
  • tunachimba madini
  • tunafuga
  • tunavua
  • tuna usafir wa majin
boti , meli & ferry za kutosha
  • uwanja wa ndege tofauti na wenu
  • viwanda vya kutosha tofauti na ugogoni uko
mwanza ndio jiji pekee linalosafirisha minofu nje ya nchi kuna wagogo wengine nadhan mlikuwa bado hamjazaliwa kulikuwa na ile kashfa ya mapank ambayo ili trend dunia nzima sasa ile kashfa ilikuwa madege makubwa yanatua mwanza na kusafirisha Minofu ya sangara nje ya nchi sasa tangu kipindi iyo Mwanza bado inatamba kama jiji, inasikitisha wagogo juzi tu utawala wa magu nao wamepandishwa hadhi kipolitics tu kwa sababu dodoma ndio mji wa kiserikali bas wanaanza battle eti na jiji ambalo kitambo tu limetawadhwa. acheni ushamba wenu wagogo mwanza sio saizi yenu
Maneno mengi Sana ya kujitetea lakini hamna kitu.

Kutangulia sio kufika, Kwani kila aliyetangulia kuzaliwa ana mali/maisha kuliko aliyechelewa?

Nyie Mwanza Mtaendelea labda kuongoza kwa slums na idadi kubwa ya maskini nothing else..

Dom imeshawapiga knock out mtaishia kulia Lia tuu hapa.Hamna barabara za maana,hamna vyuo vya maana,hamna mzunguko wa pesa wa maana,mnaishi kwenye slums.

Imagine infrastructure za Dom nyingi hazijakamilka lakini mnakimbizwa sipati picha ikikamilika.
 
Ni upumbavu kushindanisha kiwilaya kimoja ambacho hasa hasa ni jangwa na pori, zikashindane wilaya kadhaa(kubwa) za mwanza zinazounda jiji
 
Mwanza kuna Wilaya ngapi? Huoni hapo wewe ndio mjinga?

Yaani Wilaya kadhaa za Mwanza zinashindana na Jiji moja la Dom 🤣🤣🤣
 
hata Chuga hawaigusi hao wanashindana na the green city...chuga kwa sasa wapo mbali sana ...kwa ufupi serikali imejitahid kuipigania dodoma mpaka kufikia pale ...na magu alifanya vile kama hisan na kuifichia nchi sababu mji wa kiserikali haukupaswa kuwa vile na ndio maana akaelekeza nguvu pale ....ila kwa sasa ameshafariki serikali itahamia dar tena kama mnabisha mtaniambia...si umeona wameshaanza kufanya balaa tena dar... kama lile soko la kariakoo tayar ujenzi wa international shopping mall unaanza kwaiyo nguvu sasa inaelekea dar na waliowekeza dom akili inaanza kuwarudia! wengi waliwekeza dom wakiamini washua wote waliokuwa wanaishi ostabay na masaki wanahamia dodoma...lakin kwa sasa mjomba ameshafariki ma don wote wanarudi za mjini sasa sijui hayo iyo miradi ya kwenye makaratas itakuwaje kwa hapo baadae.sasa hv nguvu imerud dar tena...kama kuna mkongwe yeyote umu wa kigogo muulizen anaujua ule mziki wa boys to men? kama anaujua ndio umeshika hatamu hv sasa sio zamu ya wagogo tena sasa hv ni zamu ya Dar, Pwani & Zanzibar bora hata ya The rock city ilikuwa haitegemei bakuli toka kwa mtu yeyote tu asili ya Ngosha ni kuvimba mwenyewe kufanya kazi....!! MWANZA my city of gallery!!
Mlichosalia saizi ni kujifariji,ooh serikali ita...ita...😆😆😆😆😆.
 
Mwanza kuna Wilaya ngapi? Huoni hapo wewe ndio mjinga?

Yaani Wilaya kadhaa za Mwanza zinashindana na Jiji moja la Dom [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nani ameahindanisha, hivi kwa akili yako ndogo ushawahi kuona mkazi yeyote wa Mwanza anakuja kufungua Uzi humu kujilinganisha na sehemu nyingine!? Nyie kinachowatesa ni inferiority complex
 
Maneno mengi Sana ya kujitetea lakini hamna kitu.

Kutangulia sio kufika, Kwani kila aliyetangulia kuzaliwa ana mali/maisha kuliko aliyechelewa?

Nyie Mwanza Mtaendelea labda kuongoza kwa slums na idadi kubwa ya maskini nothing else..

Dom imeshawapiga knock out mtaishia kulia Lia tuu hapa.Hamna barabara za maana,hamna vyuo vya maana,hamna mzunguko wa pesa wa maana,mnaishi kwenye slums.

Imagine infrastructure za Dom nyingi hazijakamilka lakini mnakimbizwa sipati picha ikikamilika.
kwaiyo serikali ndio imewatangazia wagogo kwamba kwa sasa second city ni dodoma eeh! majiji ya kweli bongo hapa we mgogo ni
  • Dar
  • Mwanza
  • Arusha
mengine ni takataka kama hujui we mgogo! halafu mnachonifurahisha vitu vipo wazi wote mnalijua hilo lakin bado mnaleta tu ligue....ina elekea we ulikuwa na akili sana darasan maana unaonekana ni mgumu sana kuelewa
 
Maneno mengi Sana ya kujitetea lakini hamna kitu.

Kutangulia sio kufika, Kwani kila aliyetangulia kuzaliwa ana mali/maisha kuliko aliyechelewa?

Nyie Mwanza Mtaendelea labda kuongoza kwa slums na idadi kubwa ya maskini nothing else..

Dom imeshawapiga knock out mtaishia kulia Lia tuu hapa.Hamna barabara za maana,hamna vyuo vya maana,hamna mzunguko wa pesa wa maana,mnaishi kwenye slums.

Imagine infrastructure za Dom nyingi hazijakamilka lakini mnakimbizwa sipati picha ikikamilika.
slums na hata maskini wapo dunia nzima wewe kama hujui we mgogo wa wapi? India watu wanalala kwenye maboksi barabarani unashangaa mwanza watu kulala kwenye nyumba za bati na umeme! slums mpaka amerca zipo na ndio maana unaskia wazee na watu wanaoishi kwenye mazingira magumu wametengewa maeneo yao uko europer sasa ety unakuja kushangaa mwanza! hv unajua asili ya mgogo ni omba omba? na omba omba maarufu tz katoka dodoma kama unamkumbuka yule mzee matonya? asili ya mgogo ni kuomba na upofu wa macho sasa hapo nan maskini?
 
Back
Top Bottom