Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ila hili jiji jamani ni tamuu
Screenshot_20220117-124832.jpg
 
Hiyo michoro ya kwenye makaratasi ikikamilika nitakununulia simu kali uachane na infinix toleo la 2010.
Mwenzako kanyenyua mikono wewe unaleta ngonjera za michoro .

Ni michoro na Kazi hakuna 👇
 

Attachments

  • Mtendaji Mkuu Mahakama Prof. Ole Gabriel aridhishwa na maendeleo ya ujenzi, jengo la Makao Mak...mp4
    15.4 MB
  • Dodoma City 2021 ( 360 X 640 ).mp4
    3 MB
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mmeshatupoteza kwenye ramani tayari? Ok nimekubali nyie mko juuu mawinguni ok sasa panga list yako ya miji kumi Bora kabisa hapa bongo, pia nipe list ya yako ya miji Bora miaka minne iliyopita tafadhali
Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
 
Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
Tanzania tumebahatika kuingiza majiji matatu tu.
 
Mwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.
Mwanza haikuwa jiji la pili Tanzania baada ya Dar kwa maneno au majungu au hisani ya serikali.Watu wanafanya kazi mkitegemea kwamba Dodoma itakuja kuwa giant kwa hisani ya serikali mmefeli chukueni mfano wa Afrika kusini mtanielewa.Makao makuu ya afrika kusini ni Pretoria lakini hiyo pretoria haisogezi pua kwa Cape town wala Duban wala Jo'burg.
Chukua mfano mwingine Arusha ni makao makuu ya Afrika mashariki pia ni international icon ya Tanzania ila wamejaribu kuikimbiza Mwanza wameshindwa naona wameamua kuiachia Dodoma nao wajaribu.Ila nawambieni Dodoma kuifikia Mwanza itafeli kuliko hata Arusha.Na Mwanza ndo Jiji la pili kupata hadhi hiyo miaka 23 iliyopita.

Screenshot_2021-05-02-09-54-12.png


Screenshot_2021-05-02-09-50-47.png
 
Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
Kuna hoja nzito Sana nimemuwekea mezani zikiwa na ushadi[emoji23] namsubiri tu ajichanfanye
 
Kuna hoja nzito Sana nimemuwekea mezani zikiwa na ushadi[emoji23] namsubiri tu ajichanfanye
Huo ubora unaouzungumzia wewe ni wanamna gani? Vigezo vipi vimezingatiwa mpaka ikapatikana hiyo list?
 
Back
Top Bottom