Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Ulivyo kama haumiliki infinix [emoji1787][emoji1787] unajuaje kama hio ni dodoma maaana inifinix zinaviooo vya calculatorDom kama Dom,the Capital City of Tzn [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyo kama haumiliki infinix [emoji1787][emoji1787] unajuaje kama hio ni dodoma maaana inifinix zinaviooo vya calculatorDom kama Dom,the Capital City of Tzn [emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu DODOMA NA INFINIXHiyo michoro ya kwenye makaratasi ikikamilika nitakununulia simu kali uachane na infinix toleo la 2010.
Mwenzako kanyenyua mikono wewe unaleta ngonjera za michoro .Hiyo michoro ya kwenye makaratasi ikikamilika nitakununulia simu kali uachane na infinix toleo la 2010.
Maneno meeengi ya nini fungua video acha kujifariji hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu DODOMA NA INFINIX
Kiongoz usijichoshe kutuma picha.... picha nzuri huonekena kwenye display super na clear sasa infinix zao zinaonyesha ukunguHaturudiagi picha ya eneo mojaView attachment 2084945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuuKiongoz usijichoshe kutuma picha.... picha nzuri huonekena kwenye display super na clear sasa infinix zao zinaonyesha ukungu
Huna bando sasa unatafuta excuses,fungua video hizoKiongoz usijichoshe kutuma picha.... picha nzuri huonekena kwenye display super na clear sasa infinix zao zinaonyesha ukungu
Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mmeshatupoteza kwenye ramani tayari? Ok nimekubali nyie mko juuu mawinguni ok sasa panga list yako ya miji kumi Bora kabisa hapa bongo, pia nipe list ya yako ya miji Bora miaka minne iliyopita tafadhali
Wewe nipe source au links siwezi fungua videos za inifinix zinaonyesha ukungu[emoji1787][emoji1787].... ila jamaa yangu unaroho ngumu unaishi na vitu hatari hatariManeno meeengi ya nini fungua video acha kujifariji hapa.
Tanzania tumebahatika kuingiza majiji matatu tu.Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
Mwanza haikuwa jiji la pili Tanzania baada ya Dar kwa maneno au majungu au hisani ya serikali.Watu wanafanya kazi mkitegemea kwamba Dodoma itakuja kuwa giant kwa hisani ya serikali mmefeli chukueni mfano wa Afrika kusini mtanielewa.Makao makuu ya afrika kusini ni Pretoria lakini hiyo pretoria haisogezi pua kwa Cape town wala Duban wala Jo'burg.Mwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.
Kuna hoja nzito Sana nimemuwekea mezani zikiwa na ushadi[emoji23] namsubiri tu ajichanfanyeMiji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
Huna bando maneno mengi saaana njaa tuu.Wewe nipe source au links siwezi fungua videos za inifinix zinaonyesha ukungu[emoji1787][emoji1787].... ila jamaa yangu unaroho ngumu unaishi na vitu hatari hatari
Umeamua ujiwekee na Mwanza kabisa 🤣🤣Miji bora East Africa kulingana na report za duniani.
1.Nairobi
2.Dar es Salaam
3.Addis Abba
4.Mombasa
5.Kigali
6.Kampala
7.Mwanza
8.Kisumu
9.Port louis
10.Arusha
50.Sijaona Dodoma.
Huo ubora unaouzungumzia wewe ni wanamna gani? Vigezo vipi vimezingatiwa mpaka ikapatikana hiyo list?Kuna hoja nzito Sana nimemuwekea mezani zikiwa na ushadi[emoji23] namsubiri tu ajichanfanye
Ndo ushangae Wanatoa wapi bando kila siku na vifurushi vilivyo juu hvyo au Bora utulie upite kimyaNchi ina vijana wa ovyo sana hii kibishania maghorofa.