Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sijapost ili uone magorofa nimepost ili Dodoma mjifunzi uzuri wa kupanda miti na kuwa na mandhali na muonekano mzuri wa jiji lenu.Mwanza ni habari nyingine zaidi mnatafuta plat form kupitia Mwanza.
Huna ulijualo,Mwanza na Arusha na Mbeya wapi kuna miti tunaweza kujifunza?

Hujui kwamba Jiji la Dom kwa sasa kila sehemu inapandwa miti? Hatuna kitu cha kujifunza huko Mwanza.

najelbuilders_1644700060828_9.jpg
 
Huna ulijualo,Mwanza na Arusha na Mbeya wapi kuna miti tunaweza kujifunza?

Hujui kwamba Jiji la Dom kwa sasa kila sehemu inapandwa miti? Hatuna kitu cha kujifunza huko Mwanza.

View attachment 2120349
Ndicho tunachotaka mpande miti sio kuleta kelele za kujilinganisha na Mwanza na maji ya ziwa Nyanza(victoria) tunawaletea ili Weheshimiwa na wanachuo waoge angalau mara mbili kwa siku sio kuoga perfume kila siku.
 
Unaipambania Sana dodoma yako Ila infact dah kwa mwanza haiwezekaniki labda uamue tu kujitoa ufahamu na kujipa ushindi ili uridhishe nafsi yako[emoji16][emoji16]
JamiiForums1711444762.jpg
 
Unaipambania Sana dodoma yako Ila infact dah kwa mwanza haiwezekaniki labda uamue tu kujitoa ufahamu na kujipa ushindi ili uridhishe nafsi yako[emoji16][emoji16]View attachment 2120481
Yaani piga picha zote ila hiyo slum city haiwezi kutoka nje ya hapo,kila picha lazima uone nssf Kisa kwingine kote ni uchafu isipokuwa hapo Mjini.
 
Screenshot_20220118-214440.png
Nera - mwanza
CBD imeongozwa mpaka maeneo haya, wenye hizo nyumba wajiandae kuuza hayo maeneo.
 
Bora ata hizo barabara naona unaanza kurudi kwenye mstari, mbona unalivyokuwa unajitapa na majengo ya serikali, mara picha ya ikulu ya dodoma, nataka nikuambie dodoma itaitaji kutengenezwa kwa miaka 100 ili ifikie uchumi wa Mwanza, na pia kumbuka magorofa si kigezo cha uchumi na ukubwa wa mji. Dar ina magorofa marefu kuliko mji mkuu wa Spain(madrid ) lakini haimaanishi Dar ni bora kuliko Madrid au Geneva.
Dar ina majengo marefu kuliko Madrid?
 

Mabadiliko yajayo mza
1. Dry port kubwa fela
2. Viaduct
3. Stesheni

Hiyo dry port itahifadhi mizigo gani? Ng'ombe na mbuzi au dagaa? 😂😂.

In fact Bandari za Kigoma,Karema na Dryport ya Isaka itakuwa na tija kuliko huo mradi uchwara wa Mwanza.
 
Hiyo dry port itahifadhi mizigo gani? Ng'ombe na mbuzi au dagaa? 😂😂.

In fact Bandari za Kigoma,Karema na Dryport ya Isaka itakuwa na tija kuliko huo mradi uchwara wa Mwanza.
Wewe unajua nini zaidi ya kupiga kelele??Nikusahidie tu hiyo dry port ya fela ni special kwa ajili ya Uganda,South Sudan,Kenya na Burundi na biashara zao zinafanyika na kupitia Mwanza kwenda mikoa na nchi zingine mingine.Mfano Kenya na Uganda walipofungia mipaka mizigo yote ya Rwanda kutoka kenya inapitia Mwanza ndo Maana daraja la busisi linajengwa,meli mizigo(ship wagon ) mv umoja inafanyiwa ukarabati na nyingine mbili mpya zinajengwa na Mama Samia kaisha saini mikataba yote kazi inaendelea.Kitu kingine ni kwamba mizigo mingi ya congo kaskazini mashariki inayopitia Uganda inapitia Mwanza pia kma magogo na Mwanza ndo centre ya biashara ya magogo kutoka Congo(mbao za mkongo).Mkoloni hakujenga reli to Mwanza kimakosa.
 
Hiyo dry port itahifadhi mizigo gani? Ng'ombe na mbuzi au dagaa? 😂😂.

In fact Bandari za Kigoma,Karema na Dryport ya Isaka itakuwa na tija kuliko huo mradi uchwara wa Mwanza.
Faida ya bandari ya kigoma au reli kwenda kigoma nazani itakuwa ni kusafirisha mawese na wakimbizi kutoka burundi.
 
Wewe unajua nini zaidi ya kupiga kelele??Nikusahidie tu hiyo dry port ya isaka ni special kwa ajili ya Uganda,South Sudan,Kenya na Burundi na biashara zao zinafanyika na kupitia Mwanza kwenda mikoa na nchi zingine mingine.Mfano Kenya na Uganda walipofungia mipaka mizigo yote ya Rwanda kutoka kenya inapitia Mwanza ndo Maana daraja la busisi linajengwa,meli mizigo(ship wagon ) mv umoja inafanyiwa ukarabati na nyingine mbili mpya zinajengwa na Mama Samia kaisha saini mikataba yote kazi inaendelea.Kitu kingine ni kwamba mizigo mingi ya congo kaskazini mashariki inayopitia Uganda inapitia Mwanza pia kma magogo na Mwanza ndo centre ya biashara ya magogo kutoka Congo(mbao za mkongo).Mkoloni hakujenga reli to Mwanza kimakosa.
Lakini kumbuka kuelimisha chizi utajipa kazi!
 
Mda utaongea ila ukweli ni kwamba Mwanza ishakaliwa kooni na Dom na Arusha.

Arusha imerudi kwenye tourism boom yake as before.
Kuikalia Mwanza kooni sio leo.Kama Arusha wamepiga kelele kama hizo miaka yote ila wamezima kama mshumaa na nyie mmekuja tunawasikiliza tu mnavyobweka.Kama ni utalii Mwanza ndo west curcit center na serngeti national park gate la Ndabaka linatumiwa na Mwanza.Zaidi kama unaitakia mambo mabaya Mwanza omba international airport ya Mwanza isikamilike.
 
Back
Top Bottom