Usipende kuongea vitu bila refernce huo ni umbea.Dodoma bado sana kwa kila kitu.Ila watu wanatishwa na kelele za siasa,kama ni makazi Mwanza hiko mbali sana sema tu Mwanza hauijui.Kuhusu jiji kulinganishwa kwa mapato ya ndani nikuwa na uelewa mdogo. Ukweli ni kwamba Mwanza inaendeshwa na private sector na ndo maana inaongoza kwa GDP after Dar usitegemee kwamba Mwanza inategemea ushuru wa masoko.Watu wengine hawaelewi kuwa ukisema Mwanza jiji unaimanisha kawilaya kamoja ka Nyamagana ambako ni kadogo kuliko wilaya zote Mwaza bila kujua Mwanza jiji inaexpanda mpaka manispaa ya ilemela,Magu kisesa,musungwi na sengerema kamanga na ukija mgeni huwezi jua mipaka.Kwahiyo mkiwa mnapiga kelele jueni mnapambana na wilaya ya nyamagana peke yake .Kuhusu makazi naombene tuanze kupost makazi ya watu bila kushirikisha nyumba za mashirika kama Nhc,Nssf,ppf na mitaa yake ili tujifunze wapi zaidi.Then baadae tuende kwenye Nyumba za starehe na miundo mbinu za nchi kavu na majini.
View attachment 2208696
View attachment 2208697
View attachment 2208711