Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwamba mwanza itakuwa imelala ..
Kwani walivyowazidi makusanyo ya TRA na Halmashauri mlikuwa mumelala?

Mtapigwa Nje ndani na Second City after Dar ni Dom hilo halina mjadala..πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220724-131600.png
    Screenshot_20220724-131600.png
    128.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220724-131622.png
    Screenshot_20220724-131622.png
    47.8 KB · Views: 16
Kwani walivyowazidi makusanyo ya TRA na Halmashauri mlikuwa mumelala?

Mtapigwa Nje ndani na Second City after Dar ni Dom hilo halina mjadala..[emoji116]
Mashirika makubwa na makampuni wanaotazama potential kwa ajili ya biashara zao .... Yanasema hivi wewe kimbulu wa hapo ludewa unaropoka ropoka tu
Screenshot_20220724-051656.jpg
 
Unajua maana booming bussiness hub....sasa kuwa makini ...mwanza sio Mbeya ....
Screenshot_20220724-051823.jpg
 
Unajua maana booming bussiness hub....sasa kuwa makini ...mwanza sio Mbeya ....View attachment 2302259
Hahahaaaa kweli wewe mshamba mkuu. Yaani hiyo lugha ya biashara ndo imekuchanganya?

Kwa lugha hiyo ya biashara tuseme Mwanza inaipiki Dsm kwa masuala ya kibiashara?

Kwenye masuala ya kibiashara hata Tabora inaweza kupambwa hadi ukatamani kwenda kumbe hakuna lolote.
 
Kati yangu mimi na wewe nani mshamba ...mtu anayejifanya anajua kumbe hajui ndo mshamba...mwanza ni bussiness hub ya ukanda wa maziwa makuu .. unapoambiwa booming bussiness hub ,ni eneo linakua kwa kasi katika kuunganisha biashara baina ya Sehemu tofauti tofauti ...ndio maana mwanza ndio mji unaofanya route nyingi za ndege nje dar kwa safari za ndani ....
Kama ni kupambwa kwann wasiipambe hivyo Dodoma , Mbeya, Arusha . ambayo ni majiji .
 
Wasukuma watabisha [emoji16][emoji16].

As we speak Dodoma inaizidi Mwanza kwenye makusanyo ya TRA na Makusanyo ya Halmashauri.
Yani we jamaa Kuna muda unakuwaga kama mjinga hivi! Yani akili yako inakutuma kwamba biashara inafanyika zaidi dodoma kuliko Mwanza? Kuwa na akili

Kwa taarifa yako fupi tu Hadi 2024 Mwanza itakuwa;
Jengo jipya la airport
Stand mpya mbili kuuubwa Tanzania nzima hakuna
Soko kuu jipya kabisa Tanzania nzima halipo
Daraja refu zaidi kuliko yote afrika mashariki
Meli kubwa kuliko zoote Africa mashariki
Miradi miwili ya maji mikubwa kabisa

Tunachosubiri ni barabara tu, tukimaliza barabara hata dar ijiangalie[emoji16]
 
Sasa hapo ndio umeandika nini? Mapovu ya upumbavu..

Hatuandikii mate bali wino na namba ndio zinasema biashara inafanyika zaidi Dom kuliko Mwanza ndio maana Dom ina mapato makubwa ya Halmashauri kuliko Mwanza na ndio maana TRA inakusanya mapato mengi Dom kuliko Mwanza..

Mahaba peleka kwa Mkeo.
 
Niletee takwimu za tra. Ili ujionee ulivyo unafeli
 
Back
Top Bottom