Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Uzuri wake ni nini? Tufanye comparison, kimwonekano stendi yenu ya dodoma imekaa kama msalaba jengo kubwa lisilokuwa na mvuto ata kidogo, kuna nini cha kuvutia hapo?Mie sio hater wa Mwanza ila terminal ya Dodoma ni nzuri kuzidi hii