Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mie sio hater wa Mwanza ila terminal ya Dodoma ni nzuri kuzidi hii
Uzuri wake ni nini? Tufanye comparison, kimwonekano stendi yenu ya dodoma imekaa kama msalaba jengo kubwa lisilokuwa na mvuto ata kidogo, kuna nini cha kuvutia hapo?
 
Niko Dodoma jamani msifananishe na Mwanza baasi,Dodoma huku maji shida nkuhungu yanatoka kw awimi Mara mbili?
Daladala mwisho saa mbili usiku ?kuanzia saa nne imekula kwako?
Dodoma hii au nyingine?sijawahi ishi Mwanza nilipita lakini kwa mashosti zangu wanaoishi huko it is better than Dodoma!

Dodoma Hapa yaani mji ukifika saa mbili umepoa sehemu iliyochangamka ni chako ni chako tu!kaahhh!
 
Nimeishi Miyuji 4 months uliyosema yanaukweli 99.9%
 
Hivi watu wa Mwanza mnaonaje tukiondoka kwenye huu Uzi Sababu ni Kama tunajishusha hadhi tu
JamiiForums-523554586.jpg
 
Hii ni nn unaonyesha hapa? No paved roads,no street boundaries, no pedestrian walkways no street light ,this is a village
Hvyo vitu ulivyovitaja ungepost mtaa wa mji wako na uvionyeshe ..hyo ni Peri urban pembeni mwa jiji kabisa nilikuwa nacompare mitaa yenu ya hapo kisasa
 
Uzi utapoa wenyewe tu automatically kama nyuzi nyingine za haters wa mwanza ...tunachofanya hapa ni kummalizia kuku tuliyemchinja kuhakikisha harushi hata miguu
 
Niko Dodoma jamani msifananishe na Mwanza baasi,Dodoma huku maji shida nkuhungu yanatoka kw awimi Mara mbili?
Daladala mwisho saa mbili usiku ?kuanzia saa nne imekula kwako?
Dodoma hii au nyingine?sijawahi ishi Mwanza nilipita lakini kwa mashosti zangu wanaoishi huko it is better than Dodoma!

Dodoma Hapa yaani mji ukifika saa mbili umepoa sehemu iliyochangamka ni chako ni chako tu!kaahhh!
Nilikuwa nakaa changombe jirani na mbwanga huku ,,,miezi kama hii ni shida tupu vumbi na baridi kavu lenye upepo . maji ni shida ,,,,af maji yenyew ukinywa hayana ladha full magadi ..
 
Hvyo vitu ulivyovitaja ungepost mtaa wa mji wako na uvionyeshe ..hyo ni Peri urban pembeni mwa jiji kabisa nilikuwa nacompare mitaa yenu ya hapo kisasa
Analeta facilities za kama ulaya akijisahaulisha kuwa hapa ni Tanzania.
 
Nilikuwa nakaa changombe jirani na mbwanga huku ,,,miezi kama hii ni shida tupu vumbi na baridi kavu lenye upepo . maji ni shida ,,,,af maji yenyew ukinywa hayana ladha full magadi ..
Hao wanajiita watu wa Dar kutwa nzima kupondea wenzao wa mikoa kama vile Dar sio mkoa.
 
Back
Top Bottom