Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Samia hataki aibu ndogo ndogo [emoji28]Hakuna mtu anayetaka ugonjwa wa macho na mafua[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia hataki aibu ndogo ndogo [emoji28]Hakuna mtu anayetaka ugonjwa wa macho na mafua[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Uwanja wa Ndege wa Dom umekamilika?Hivi umuhimu wa makao makuu ni upiView attachment 2383014
Wakati Mkiendelea kujifariji na ujinga Dom is something in the Making.Samia hataki aibu ndogo ndogo [emoji28]
Wakati unajifariji kwa ujinga,Mwanza will never have something like this one happening in Dodoma City..Hakuna mtu anayetaka ugonjwa wa macho na mafua🤣🤣🤣.
Unapajua nyamhongolo?😄😄😄Wakati unajifariji kwa ujinga,Mwanza will never have something like this one happening in Dodoma City..
Capital City in the Making.Kisasa HillTop 👇
Kule kulikojaa uswazi,mavumbi ,no roads ndio utalinhanisha na Dom? Acha utoto wewe.Unapajua nyamhongolo?😄😄😄
Hiv vijumba vya NHC vimezungukwa na machaka na mavumbi ya ukame ndo unasema nini ..jiji ni hili[emoji116]Wakati unajifariji kwa ujinga,Mwanza will never have something like this one happening in Dodoma City..
Capital City in the Making.Kisasa HillTop [emoji116]
Toka umeanza kuweka picha za Mwanza yaani walau hii yenye filter ndio umejitahidi kuipamba na rangi japo kama kawaida ni slums kila sehemu..Hiv vijumba vya NHC vimezungukwa na machaka na mavumbi ya ukame ndo unasema nini ..jiji ni hili[emoji116]View attachment 2383852
We bado dozi haijatosha[emoji116]Toka umeanza kuweka picha za Mwanza yaani walau hii yenye filter ndio umejitahidi kuipamba na rangi japo kama kawaida ni slums kila sehemu..
Dodoma hakuna slums usilinganishe na hilo karo la wavuvi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Acha kuleta upuuzi,weka vitu classic kama hivi white Resedence apartment Dodoma 👇We bado dozi haijatosha[emoji116]
Mwonekano wa jijj tokea bugando hill ..unaweza kuzoom Kwa ajili ya burudani ya macho[emoji16]View attachment 2383876
Na unabidii sana katika kuokota vipicha mitandaoni.Dodoma haikamatiki kiasi kwamba Mwanza wanatoa macho ila hawaamini 😁😁..
This is Dodoma 👇
Excuses 😜😜😜😜..Na unabidii sana katika kuokota vipicha mitandaoni.
Hyo hotel unayoonyesha bado haijaizid Aden palace au lakairo 😄😄😄😄 je nikikuletea pigeon au jb belmontIla Dodoma ni tamu khaa,a real City 👇
Hata hotel kingdom ni nzuriHyo hotel unayoonyesha bado haijaizid Aden palace au lakairo 😄😄😄😄 je nikikuletea pigeon au jb belmont