Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huwa hana cha kupost zaid ya mitaa ya igogo, pia kati ya mitaa zaidi ya 200 anaona baya kwenye mtaa mmoja anakuja kujifariji.
Endelea kuugua 🤪🤪

Dodoma Mkalama Suburb 👇
infinity_real_estate_dodoma_1671432545639721.jpg
 
Sasa wewe kenge mwenye madoa meusi na mekundu unazani hicho kiwanda ni cha baba hako? Hicho ni mali ya serikali, ni bora ungepost kiwanda cha mtu binafsi huko dodoma, nitaendelea kusema Dodoma bila serikali ni sawa na Tandahimba au Rungwe.
Serikali ipi? Ya mdomoni kwako au? Rubbish
 
Serikali ipi? Ya mdomoni kwako au? Rubbish
Una cha kujitetea utaishia kuwa hivyo hivyo na jiji la kimaskini, huko hakuna huwekezaji wa private sectors, hakuna natural resources zozote ni jiji linaloforcewa kukuwa kwa nguvu kubwa na serikali, huko hakuna biashara, huko hakuna kilimo, huko hakuna madini bali kumebalikiwa ukame, kujenga majengo mengi ya serikali wakati kiukweli umaskini umetopea huko.

Hilo jiji kama wewe sio muajiriwa wa serikali huwezi kutoboa coz hakuna huwekezaji wa private sectors over.
 
Jibu hoja acha blaa blaa za kijinga
 
Mwanza bila Serikali Hakuna kitu hapo [emoji38][emoji38]
Mwanza ni multi sectoral invested city.both public and private entities have allocated their resources here [emoji12]..do you understand..
Mery xmass [emoji91][emoji559]...
WATUMISHI HOUSING KISESA MAGU .
Kota kama zile za kisasa na iyumbu zinajengwa magu huko [emoji116][emoji116][emoji16][emoji16]
images (17) (9).jpg
images (17) (8).jpg
images (17) (10).jpg
 
Back
Top Bottom