Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Njoo ..na ukifika ndio mwanzo wako wa kulipenda jiji..naaminj kama unapanda premier line ya mbeya utafika saa 2 asubuhi..mji utauona vizuri kabisa kuanzia Usagara, nyashishi, buhongwa, mkolani, nyegezi, butimba, mkuyuni, igogo,town..Vijumba kama hivyo ni sehemu ndogo sana ya Jiji la Dom..
Mji mzima uko hivyo mbona [emoji16][emoji16]
Raha ya Dom ni Moja,ukikaa miezi 6 au mwaka unakuta Jiji kimebadikika sana..
Saizi underpasses Kila sehemu..
Nakuja Mwanza mwezi ujao kama mambo yataenda sawa ntakuja kukuumbua [emoji3][emoji3]
Na kama unakuja Kwa flight..mji utauona vizuri kabisa kuanzia airport, Ilemela,pasiansi, nyamanoro,Ghana,kirumba,nera ,town
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app