Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuu ukweli lazima usemwe, ni dhahiri pasipo na shaka kwamba miji yote miwili imepevuka kwa kiasi kikubwa kutokana na mchango wa Hayati Magufuli. Katika matamshi yake yanadhirisha hivyo: Mosi, Kwamba "Dodoma sasa uwe mji Mkuu wa Nchi"; na Mwanza utakuwa kama Ulaya.
Kwa hyo ndo mwanza imekuwa kama ulaya au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ebu kiri hapa kwanza, kwamba Magufuli hakuipaisha Mwanza. Mbona wenzio wa Dodoma wanakubali kwamba Magu amewatendea na kuwaachia ukumbusho ulio bora.
Aipaishe wapi ...Toka mwaka 2000 mwanza imebaki Kwa jiji la pili Kwa ukubwa na ubora....unataka kusema magufuli ameipaisha sa hv ni jiji la Kwanza Tanzania au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aipaishe wapi ...Toka mwaka 2000 mwanza imebaki Kwa jiji la pili Kwa ukubwa na ubora....unataka kusema magufuli ameipaisha sa hv ni jiji la Kwanza Tanzania au

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpaka hapa tulipofia wewe humuoni Hayati katika kuujenga mji wa Mwanza, si ndio? Mwanza haliwezi kuwa jiji la kwanza TZ, na linaingia mara mbili kwa ulinganifu na wilaya ya Kinondoni.
 
Maghorofa ya dodoma mengi ni ya serikali ila mwanza mengi ni private huoni hata tofauti, ukiona sehemu inajengwa na private sector zaidi kuliko serikali obvious hiyo sehemu inakuwa bora kwa kila kitu hamna kichaa anaeweza kuinvest sehemu ya ajabu ajabu
Wawekezaji waliopo Dodoma ni Serikali pekee eti😂😂😂😂

Hawa hapa chini ni vichaa eti wamekuja kuwekeza sehemu ya ajabu ajabu kwa mujibu wako😂😂😂😂
Shoppers Plaza,GSM, Supermarkets,Viwanda,Mahoteli kwamfanoMorena Hotel&Royal Village, St Gaspar Hotel,Golden Crown Hotel,Dear Mama hotel,NAM Hotel,Best Western City Hotel ,African Dreams Hotel, Media (zaidi ya radio stations 12 ,Tv station),real estates,maeneo ya entertainment,vyuo vya binafsi mfano St Johns,Capital,Dodoma Media College,Chuo cha T.A.G. n.k,shule za binafsi kuanzia nursery hadi sekondari
 
Aipaishe wapi ...Toka mwaka 2000 mwanza imebaki Kwa jiji la pili Kwa ukubwa na ubora....unataka kusema magufuli ameipaisha sa hv ni jiji la Kwanza Tanzania au

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kuwa ya pili ni kwa upande wenu nyie na mtu aliopitisha Ujue Hata Mimi ninaweza Amka Asubh nikatamka kwa sasa Sumbawanga ndio mkoa mkubwa Tanzania.

Ni kama Donald trump alivoita Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel ilhali inajulikana kwamba mji mkuu wa Israel ni Tel Avivi
 
Wawekezaji waliopo Dodoma ni Serikali pekee eti😂😂😂😂

Hawa hapa chini ni vichaa eti wamekuja kuwekeza sehemu ya ajabu ajabu kwa mujibu wako😂😂😂😂
Shoppers Plaza,GSM, Supermarkets,Viwanda,Mahoteli kwamfanoMorena Hotel&Royal Village, St Gaspar Hotel,Golden Crown Hotel,Dear Mama hotel,NAM Hotel,Best Western City Hotel ,African Dreams Hotel, Media (zaidi ya radio stations 12 ,Tv station),real estates,maeneo ya entertainment,vyuo vya binafsi mfano St Johns,Capital,Dodoma Media College,Chuo cha T.A.G. n.k,shule za binafsi kuanzia nursery hadi sekondari
Mkuu Masare usiwaone hawana akili, wanajitambua sana na wanajua nini wanafanya. Hizo ni project za uzalishaji miaka 5 -10 mbele. Mji kuwa Makao Makuu ya Nchi ni budi ukue kwa kasi, maana wawekezaji sio Wagogo tu bali Serikali na Wawekezaji wa Kimataifa. Aidha, usifiri Dar ilikuwa hivi huko nyuma. Miaka ya 1980 Sinza lilikuwa pori tu na Kariako nyumba nyingi zilikuwa zimeezekewa madebe na chini hamna sakafu ya sementi, magorofa ya wazalendo ni moja moja mengi ni yale yaliyo taifishwa ya Msajili.
Kwa hali ninayo iona leo Dodoma, hapana shaka litakuwa Jiji nene kama Dar ya leo. Uzuri wa Dodoma ni kwamba ipo katikati ya Nchi na hivyo hufikika karibu na mikoa yote kwa gharama nafuu. Nakuhakikishia ndani ya miaka 5 ijayo ukubali nisemayo.
 
Moja ya kimji Cha hovyo ni Mwanza.

Ccm kuna viongozi wa ajabu sana ndio wametufikisha huku..

Hivi kupima viwanja watu wakajenga mabanda Yao Kuna tatizo?

2025 kura yangu itaenda Kwa mtu atakayekuja na sera za mipango Miji .
Kweli kabisa inatia kichefuchefu, miji yote nchi nzima haivutii hii si sawa, mimi naamini tukianza kudevelop mipangilio ya makazi yetu leo hii baada ya kipindi cha miaka kadhaa tutakuwa pazuri kumbuka palipojengwa mpaka sasa ni robo tu ya kile kitakachokuja kujengwa miaka 100 ijayo hivyo tukianza leo mdogo mdogo hata na maeneo mapya ambayo hayajajengwa kupima na kupangilia makazi yetu kwa nchi nzima few years to come tutakuwa na future promising sana kuliko hata hizo nchi tunazoona zimetutangulia coz nchi za afrika na viongozi wake hawako siriazi sana na maendeleo ya nchi zao.
 
Vipi lakini umeushuhudia huo mkeka hapo mjini ulivyotambaa?
Nimejaribu ku-zoom hadi kwa tochi ila nikabaini Dodoma ni levels baby, imagine hapo ni pembeni kidogo ya CBD siyo kile kijiji cha Mwanza ambacho Magufuli halijaribu kuwafichia aibu ndogo ndogo za kuwa na vumbi mpaka CBD akaamua kuwatandikia mikeka pale dampo na bado huko chocho ndani ya CBD ni mavumbi na uozo.
Nyie mshukruni magufuli bhana acha kujitoa ufahamu. Wa kumshukru magufuli 1. Dodoma 2. Dsm
 
Wewe mie mwenyeji wa Mwanza,huwezi linganisha Arusha na Mwanza.Mwanza kitu pekee inachoizidi Arusha ni Idadi ya watu.

Tumia hata akili ya kawaida tu ya kiuchumi1,income status ya watu wa Arusha na Mwanza ni vitu viwili tofauti-inawezekanaje Mwanza iizidi Arusha?

By the way,hata kwa sasa Dodoma inaelekea kuizidi Mwanza-haitazidi miaka 7-10 Dodoma itaizidi Mwanza & Arusha completely.
Unalinganisha nini...?!
 
Hiyo kuwa ya pili ni kwa upande wenu nyie na mtu aliopitisha Ujue Hata Mimi ninaweza Amka Asubh nikatamka kwa sasa Sumbawanga ndio mkoa mkubwa Tanzania.

Ni kama Donald trump alivoita Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel ilhali inajulikana kwamba mji mkuu wa Israel ni Tel Avivi
kwani nani alitamka...?!
 
Kwa hyo ndo mwanza imekuwa kama ulaya au

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusivunjane mbavu bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hatimaye umenifanya nimkumbe mr.spider man akiwa mabatini [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_16786581656035081.jpg
 
Huwa naimagine tu siku mwanza ikipigwa nje 6 toka usagara(misungwi) mpaka mjini na hii battle ndo itakuwa imeisha
Endelea kuimagine wakati huo Dodoma wanafanya kweli mkija kushtuka usingizini wenzio watakuwa wanabattle na Durban
 
Sasa project za serikali zikiisha eg. Majengo ya wizara nk na dom ndo utakuwa mwisho wake! Mwanza imejijenga na inaendelea kujijenga kwa hiyo sahau kuja kupitwa na mji wowote hapa tz ukitoa dar
Hivi Dar wakati ikiwa kama makao makuu ya nchi baada ya serikali kumaliza kujenga majengo ya wizara na taasisi zake ikiwemo BOT tuseme ndio uwekezaji wa serikali kwenye majenzi ya vitega uchumi na miundombinu iliishia pale?

Kwahiyo unadhani kama serikali imeona Dodoma ni fursa na wameamua kuwekeza resources zao hapo kuliendeleza, hao sekta binafsi wao ni wajinga hata wasione uwepo wa mazingira mazuri ya kiuwekezaji for future prosperity businesses hapo Dodoma.

Mbona mpaka waleo hao wanadar es salaam wanazidi kupewa vipaumbele katika miradi ya maana na wanamwanza hamuwagusi kwa lolote?

Itoshe kusema tu mwenye nacho ataongezewa tu, Dodoma imeshawatangulia kiufupi mtaendelea kuisoma namba hadi mwisho wa dunia.
 
Mkuu Undava king, hawa ndugu wa Mwanza nadhani hawaelewi. Dodoma sasa sio size yao, uzuri wa Dodoma ni kwamba wana eneo kubwa la wazi na lipo katikati ya Jiji. Maadamu yule aliyekuwa anajenga miji hii miwili (Mwanza na Dodoma ) kwa pamoja hayupo basi uelewe kuwa Mwanza sasa ni ya kujikongoja kama miji mingine. Tambua kuwa wakati Mwanza inajengwa, jamaa aliipa miji mingine kisogo, na kweli ustawi wa miji ya Arusha na Moshi ulikuwa ya kususua..
 
Back
Top Bottom