Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma tumechoka na project zenu za serikali.
Huu ni wivu Sasa ,mbona hamleti project za Mwanza ambazo sio za Serikali?

Dom
nasia_consult_limited_167981443439422.jpg
Screenshot_20230324-002444_2.jpg
 
Wewe umeanza kuwa mpumbavu kama kile nilicho ki ignore,ukiendelea na huu ujinga nitaku blacklist..

Sasa hapo.kuna nini Cha maana? Ndio uwanja changamani huo ulio.post?
Ko unanitishia kuniblack list Mimi [emoji1787][emoji1787].you can go ahead.halafu naona umenishau nilikuwa nakuchek tu hizi wiki unavyojitutumua kupost picha zako feki na hoja zako mlenda mlenda ....
Sasa umenitekenya huu Uzi utaleft nakuhakikishia .
Mwanza ndo tumeanza [emoji116][emoji116]
Zoom
20230401_171336.jpg
 
Wewe umeanza kuwa mpumbavu kama kile nilicho ki ignore,ukiendelea na huu ujinga nitaku blacklist..

Sasa hapo.kuna nini Cha maana? Ndio uwanja changamani huo ulio.post?
Punguza makasiriko mwanza sio size yenu kwasasa tunataka kufukuzana na hong kong👇👇
IMG-20230405-WA0080.jpg
IMG-20230405-WA0082.jpg
IMG-20230405-WA0073.jpg
 
What a beautiful city
Disorganized ,poor skyline and shanghalabaghala ndio beautiful kwenu harafu haieleweki wapi ni posh areas wapi ni Kwa maskini.😁😁😁😁

Yaani Dom Iko mbele sana Kwa Mwanza,imagine huko igoma ndiko Kwa matajiri wenu na kuko hovyo full of mavumbi na vijumba vya kawaida 😜😜
 
Serikali imeharibu sana Mji wa Mwanza Kwa kuacha ujenzi holele Kwa jinsi inavyoonekana walau ingepangika kama Dom mngetisha sana.

Unfortunately maeneo mazuri yote ndio Yako hovyo na yameharibu kabisa taswira ya Mji Hadi aibu na huruma Juu.
 
Mnatia huruma sana, yaani unamlingishia render ya gorofa 4?
Mimi npoweka render sinaga mbamba mbamba ujenzi unaendelea na wapo 3rd floor hapo maeneo ya buzuruga nitaleta picha humu, na hilo jengo si la serikali kama wanayojengewa dodoma huku mwanza ni nguvu za wananchi wazalendo wa jiji tukufu la Mwanza.
 
Disorganized ,poor skyline and shanghalabaghala ndio beautiful kwenu harafu haieleweki wapi ni posh areas wapi ni Kwa maskini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani Dom Iko mbele sana Kwa Mwanza,imagine huko igoma ndiko Kwa matajiri wenu na kuko hovyo full of mavumbi na vijumba vya kawaida [emoji12][emoji12]
Eti igoma.....ko ukitumwa poshy area za mwanza utapeleka igoma,,,,,
Capripoint, isamilo, bwiru,nyasaka,mwananchi ,utaziita nin ..we si ulisema unakuja mwanza kiliishia wapi [emoji16] au nauli
 
Disorganized ,poor skyline and shanghalabaghala ndio beautiful kwenu harafu haieleweki wapi ni posh areas wapi ni Kwa maskini.😁😁😁😁

Yaani Dom Iko mbele sana Kwa Mwanza,imagine huko igoma ndiko Kwa matajiri wenu na kuko hovyo full of mavumbi na vijumba vya kawaida 😜😜
Igoma haipo hata kwwnye 20 best neighbourhood za Mwanza, hiyo haina tofauti na uswazi wa mabatini na igogo.
 
Disorganized ,poor skyline and shanghalabaghala ndio beautiful kwenu harafu haieleweki wapi ni posh areas wapi ni Kwa maskini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani Dom Iko mbele sana Kwa Mwanza,imagine huko igoma ndiko Kwa matajiri wenu na kuko hovyo full of mavumbi na vijumba vya kawaida [emoji12][emoji12]
Posh area ya dodoma ni wapi
 
Serikali imeharibu sana Mji wa Mwanza Kwa kuacha ujenzi holele Kwa jinsi inavyoonekana walau ingepangika kama Dom mngetisha sana.

Unfortunately maeneo mazuri yote ndio Yako hovyo na yameharibu kabisa taswira ya Mji Hadi aibu na huruma Juu.
Unataka iwapange vipi watu wa mlimani pale igogo na mabatini na kilimahewa, tusaidie.
 
Eti igoma.....ko ukitumwa poshy area za mwanza utapeleka igoma,,,,,
Capripoint, isamilo, bwiru,nyasaka,mwananchi ,utaziita nin ..we si ulisema unakuja mwanza kiliishia wapi [emoji16] au nauli
Majengo, nyamhongolo, buswelu, ibanda n.k naongezea tu
 
Serikali imeharibu sana Mji wa Mwanza Kwa kuacha ujenzi holele Kwa jinsi inavyoonekana walau ingepangika kama Dom mngetisha sana.

Unfortunately maeneo mazuri yote ndio Yako hovyo na yameharibu kabisa taswira ya Mji Hadi aibu na huruma Juu.
Dodoma imepangika wapi ,,,,,leta picha za maili mbili , chang'ombe,mnada Mpya , nkuhungu,kizota ,tuone palivyopangika[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi npoweka render sinaga mbamba mbamba ujenzi unaendelea na wapo 3rd floor hapo maeneo ya buzuruga nitaleta picha humu, na hilo jengo si la serikali kama wanayojengewa dodoma huku mwanza ni nguvu za wananchi wazalendo wa jiji tukufu la Mwanza.
Gorofa 4 ni za kulingishia ndani ya Jiji? Bariadi watalingisha nini Sasa..
Jiji la mang'ombe waporipori 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom