ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwani miundombinu hujaona inajengwa Mbeya? Hilo sio tatizo..Vipi kuhusu fursa za kiuchumi na miundombinu ilo nalo hujaliona?
Kuishi Dom hakuzuii Mimi kuchangamkia fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani miundombinu hujaona inajengwa Mbeya? Hilo sio tatizo..Vipi kuhusu fursa za kiuchumi na miundombinu ilo nalo hujaliona?
😁😁😁😁 hizo nyumba zimekaribia kuisha na wamesema zimebakia 20 wewe unaleta wivu wako wa kimama hapa.Hapo hakuna mpangaji na mnunuzi hata mmoja, ifikie hatua serikali isifanye mambo kimihemko.
😁😁😁😁 hizo nyumba zimekaribia kuisha na wamesema zimebakia 20 wewe unaleta wivu wako wa kimama hapa.
Dom sio Mwanza ,Dom Kuna pesa.
Nina Mpango wa kuwekeza na kuishi Dom baada ya 2030..
Mbeya na Njombe huwezi ikwepa View attachment 2632242
Miradi au upembuzi yakinifu???Kuanzia leo nimemaliza hii battle na dodoma, wenzangu wataendelea nayo kwasasa dodoma ipo too far na second after dar, si kwa miradi hii ya kuvunja chaga.
Ila watu wa Mwanza mnatia huruma sana 😁😁Miradi au upembuzi yakinifu???
Ukiona milioni 2000, ujue ni bilioni mbili...
Na 1km ya asphalt concrete siyo chini ya B1. Tusichanganywe na lugha za wanasiasa. Miradi ya kwenye makaratasi.
Kuna kipengere nimeona kwenye bajeti hii, kila mwaka kinatokea hivyo hivyo, hawabadili hata nukta.
Mimi naishi dodoma, nazungumzia uzoefu. Kuna miradi hapa dodoma kila bajeti imo ila kwa ground kila mwaka ni upembuzi yakinifu.Ila watu wa Mwanza mnatia huruma sana [emoji16][emoji16]
Saizi Serikali imekuja na financing model Mpya kwenye ujenzi ya EPC+F,hii itaharakisha ujenzi maeneo mengi badala ya kutegemea cash budget.
Mfano mradi gani?Mimi naishi dodoma, nazungumzia uzoefu. Kuna miradi hapa dodoma kila bajeti imo ila kwa ground kila mwaka ni upembuzi yakinifu.
Hiyo barabara ya mzunguko ya ndani, umeona hata mita moja imesogea? Na kila siku kwenye budget imo! Acha hiyo kuna barabara ya ntyuka, zuzu nazo tangu budget ya 2017/2018 zinatengewa B2 kila moja kwa kiwango cha lami[emoji23]Mfano mradi gani?
Hakuna walipoitengea Bajeti,ipo kwenye mipango sawa na mzunguko wa kati na kupanua njia 4 Kila sehemu..Hiyo barabara ya mzunguko ya ndani, umeona hata mita moja imesogea? Na kila siku kwenye budget imo! Acha hiyo kuna barabara ya ntyuka, zuzu nazo tangu budget ya 2017/2018 zinatengewa B2 kila moja kwa kiwango cha lami[emoji23]
Acha ubishi, kasome bajeti. Na kama unaelewa masuala ya ujenzi utakuwa unajua hata gharama za ujenzi hata kwa kukadiria. Ukiona sehemu kuna B2 barabara yenye zaidi ya km 10 ujue hakuna barabara kujengwa hapo zaidi ya upembuzi yakinifu miaka nenda miaka rudiHakuna walipoitengea Bajeti,ipo kwenye mipango sawa na mzunguko wa kati na kupanua njia 4 Kila sehemu..
Mchakato wa Barabara unahusu mambo mengi ikiwemo usanifu..
Mwisho umeshaambiwa kwamba Serikali imekuja na financing model Mpya ,zote hizo zitajengwa Kwa haraka kuliko hapo awali..
Achana na hizo, nimeikuta dodoma ile barabara ya kutoka club NK kwenda Bima ina vumbi... So tumeiona dodoma ikikua.Sgr Station Dom View attachment 2634715
Mzee haiviwezi kujengwa Kwa mara Moja,Tanzania yote Iko hivyo hivyo, mahitaji mengi ila rasilimali kidogo..Achana na hizo, nimeikuta dodoma ile barabara ya kutoka club NK kwenda Bima ina vumbi... So tumeiona dodoma ikikua.
Tuko pamoja kwenye hilo. So tupunguze shangwe.Mzee haiviwezi kujengwa Kwa mara Moja,Tanzania yote Iko hivyo hivyo, mahitaji mengi ila rasilimali kidogo..
Tuko pamoja kwenye hilo. So tupunguze shangwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Dodoma weekend huwa mnaenda wapi kupumzika ? Maana Hapo hakuna beach, hakuna zoo, hali ya hewa baridi yabisi ! Samaki hakuna yaani jangwa tupu ! Poleni sana.