Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huyu mama na watu wake wameshaanza kutuona sisi ni mambuzi ya kufugwa huu upumbavu si wa kufumbia macho, uwepo wa chelezo unatosha kutengenezea meli, Mwanza hakuna kiwanda cha meli na bado kila siku meli na vivuko vikubwa vinajengwa, leo hii wanataka kuiibia serikali zaidi ya bilion 300 eti kujenga kiwanda cha meli, tunaomba kama mnataka kujenga kiwanda mjenge kiwanda cha magari tuwaone.
Unatoa mapovu badala ya kujibu maswali yangu.

Si ajabu Dom inawanywea 🔥🔥🔥
-476854443.jpg
86388201.jpg
1897852599.jpg
 
Huyu mama na watu wake wameshaanza kutuona sisi ni mambuzi ya kufugwa huu upumbavu si wa kufumbia macho, uwepo wa chelezo unatosha kutengenezea meli, Mwanza hakuna kiwanda cha meli na bado kila siku meli na vivuko vikubwa vinajengwa, leo hii wanataka kuiibia serikali zaidi ya bilion 300 eti kujenga kiwanda cha meli, tunaomba kama mnataka kujenga kiwanda mjenge kiwanda cha magari tuwaone.
Acha kuropoka bila ushahidi.Hiyo ni private sector inafanya

View: https://www.instagram.com/p/CyTjsydo2D3/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom