Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujenga Gorofa sehemu ambayo haijapangwa ni slums kama slums zingine.
Mwenzako anakuonesha man- made features ambazo zinazidi kujengwa na kuitofautisha Dodoma wewe kila siku unakuja na picha hizohizo za Ziwa😂😂😂.Hizo natural features hata kwenye miji midogo ya Ziwani kwamfano Mbamba Bay,Matema Beach zipo😆😆 .
Mwanza mnaenda kupigwa knockout na Mkoa wa Geita 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C581S64tXYP/?igsh=MXMxNmhhM2h2dndzcA==