Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Growing ilemela neighborhood
Screenshot_20240404-124656.jpg
Screenshot_20240404-124653.jpg
 
Mwenzako anakuonesha man- made features ambazo zinazidi kujengwa na kuitofautisha Dodoma wewe kila siku unakuja na picha hizohizo za Ziwa😂😂😂.Hizo natural features hata kwenye miji midogo ya Ziwani kwamfano Mbamba Bay,Matema Beach zipo😆😆 .

👇👇
 
🤣🤣 Ila Mwanza mnatia aibu sana yaani Jiji la watu Mil.1 mnazidiwa Mapato na Dodoma ya juzi tuu.

Tuliwaambia huo Mji umejaa maskini mnalalamika.Kiko wapi Sasa 🤪🤪
Screenshot_20240416-211946.jpg
 
Back
Top Bottom