Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Acha assumption...leta price... apartment yenye gharama ya milioni 1 plus..kama kweli mnajiweza .... MWANZA hatuna porojo Huwa tunapiga kwenye mshonoView attachment 2987457
😂😂😂milioni moja kwa mwezi wakati Dodoma kuna apartments za zaidi ya milioni tatu kwa mwezi
Screenshot_20240511-095202.jpg
 
Moja ya neighborhood ya ajabu Dodoma ni nyumba 300 asee
😀😀Ya ajabu kivipi... wakati ni mojawapo ya mitaa michache Dodoma yenye eneo very spacious vile viwanja wamependelewa sana wale jamaa ni vikubwa sana ingekua huku mkoani unaweza kujenga hata nyumba sita na bado eneo likabaki.Kingine kizuri pale ni eneo tulivu,hali ya hewa nzuri miti ya kutosha,barabara pandezote full lami na ile design ya nyumba very unique(hasa zile za upande wa kuelekea FFU) ile style na design ya nyumba zao hadi jamaa wa Benjamin Mkapa Foundation wameiga
 
Kilasiku unapost kaghorofa hakohako😂😂idadi ya maghorofa yaliyopo UDOM pekeyake ni sawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre😂😂hapo bado sijakutajia maghorofa ya Magufuli City,Ikulu,Tambukareli,City Centre na nje ya mji😀😀
Takwimu za sensa na makazi 2022 ...zinasemaje kwanza mzee wa facts
 
Takwimu za sensa na makazi 2022 ...zinasemaje kwanza mzee wa facts
Takwimu za sensa za makazi ni regional wise not city wise😂😂....uhalisia upo hivi maghorofa yote ya Udom plus maeneo karibu na Udom kama Iyumbu,Njedengwa yanazidi zaidi ya miambili ukija Mwanza City Centre maghorofa hayafiki hata mia😂😂😂😂
 
Maelezo bila supporting figure ni upuuzi na porojo .. takwimu za sensa na makazi zimeshamaliza Kila kitu ..
20220805_185515.jpg
 
Nioneshe hizo takwimu za sensa ya makazi zinazoonesha idadi ya maghorofa kwa kila mji Tanzania(Jiji,Manispaa,Mji,Mji mdogo)
acha kutafuta sababu zisizo na maana ... dodoma Ina maghorofa 1000 .. mwanza Ina maghorofa 2700 .tuseme maghorofa 1000 ya mwanza yapo vijijini na maghorofa 1700 yapo mjini bado mmezidiwa ...faraja fc 😃😃
 
Umeelewa swali langu nataka unioneshe data kwa mujibu wa sensa ya makazi inayoonesha idadi ya maghorofa kwa kila "mji" (sio halmashauri zote za mkoa)hapa Tanzania tumalize ubishi...mkoa wa Mwanza una halmashauri 8 Dodoma kuna halmashauri 8
 
Kwamba unataka kusemaje... halmashauri ya jiji la dodoma inaizidi Mwanza.. halmashauri zinazounda jiji la mwanza.... pathetic lunatic
 
Kwamba unataka kusemaje... halmashauri ya jiji la dodoma inaizidi Mwanza.. halmashauri zinazounda jiji la mwanza.... pathetic lunatic
hujajibu swali unajitahidi kuhamisha magoli....nataka unioneshe figures za maghorofa kwa mujibu wa sensa za kila mji,Jiji,manispaa ,miji midogo hapa Tanzania sio figures za kimkoa na halmashauri zake.
 
Kazitafute NBS ......
 
Takwimu za sensa za makazi ni regional wise not city wise😂😂....uhalisia upo hivi maghorofa yote ya Udom plus maeneo karibu na Udom kama Iyumbu,Njedengwa yanazidi zaidi ya miambili ukija Mwanza City Centre maghorofa hayafiki hata mia😂😂😂😂
Ghorofa zilizopo
Ilemela beach
Capripoint
Nyegezi
Buzuruga
Ghana
CBD
bugando
Isamilo
Nyamhongolo
Kanywe kwanza kahawa na mitungi ndio uje ujitutumue hapa
 
Ghorofa zilizopo
Ilemela beach
Capripoint
Nyegezi
Buzuruga
Ghana
CBD
bugando
Isamilo
Nyamhongolo
Kanywe kwanza kahawa na mitungi ndio uje ujitutumue hapa
😆😆Narudia tena idadi ya maghorofa yote ya UDOM pekeyake ni sawa na ghorofa zote pale Mwanza City Centre na hapo tumeweka pembeni maghorofa ya Mtumba(Magufuli City),Miyuji Proper,Tambukareli,Njedengwa,Kisasa,City Centre,Kilimani,Uzunguni,Mji Mpya,Kisasa n.k

Nakumbuka mara ya kwanza nimefika Mwanza nilifikia Nyegezi nikamwambia mwenyeji wangu anipeleke mjini kwenye maghorofa basi tukaenda mpaka maeneo ya Chuo cha CBE nikamuuliza mbona ghorofa zenyewe chache zinahesabika akanambia twende upande wa pili aisee tulipita chocho moja la hatari full uswazi nahisi pale vibaka wamejaa tele sasa just imagine apo ni mita chache tu toka chuo cha CBE ....😂😂😂😂
 
Dodoma ni tawi la Nyanda za Juu Kusini,wanaoendesha uchumi hapo Dom ni wakazi wa Njombe,Iringa na Mbeya
Acha upumbavu dogo. Eti tawi la nyanda za juu kusini. Ambacho hujui sisi na wagogon ni watani wa jadi. Usituone kama sisi tuna utani wa jadi na wabena boya wewe.
 
Acha upumbavu dogo. Eti tawi la nyanda za juu kusini. Ambacho hujui sisi na wagogon ni watani wa jadi. Usituone kama sisi tuna utani wa jadi na wabena boya wewe.
Wewe punguani,utani wenu na kumiliki uchumi wapi na wapi? 😁😁😁😁
 
Naona umeleta Hadi Airbnb...wakati Mimi nazungumzia apartment za kuishi...nikiweka Airbnb price za Mwanza si utakimbia humu
Kuna vitu Hawa watu hawavifahamu Mimi nishaluona Hilo mapema
 
Acha upumbavu dogo. Eti tawi la nyanda za juu kusini. Ambacho hujui sisi na wagogon ni watani wa jadi. Usituone kama sisi tuna utani wa jadi na wabena boya wewe.
Kwani makabila asili ya Dodoma ni Wagogo tu vp Wakaguru,Warangi,Wasagara,Wanyambwa,Wanguu,Waburunge,Wasandawe wapo wapi...😂😂
 
Back
Top Bottom