Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.
Sisi Mawakili ili ushinde kesi mahakamani lazima uwasilishe hoja zenye facts ili Judge akupe ushindi sio u-present picha za kuedit ndiomana ushahidi wa picha au video za kutengeneza huwa haukubaliki mahakamani😀😀.
Unazungumzia maghorofa ukifika Dom ni balaa😀😀.Idadi ya maghorofa yote ya Udom na colleges zake zote ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre.
Na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Tambukareli,Mji Mpya,One- way,Nyerere Square,Njedengwa Investment Area,Kisasa,Uzunguni,Area D,Mlimwa C,Miyuji,Magereza,NHC,Itega,Magufuli City n.k
Porojo as usual, leta aerial view ya Dodoma CBD, shida yako ww huwa ni mzee wa maneno tupu
 
Alafu huwa unautindio wa ubongo wewe sio bure, threads hii inajieleza huko juu au hata maana ya CBD hujui? Majiji yote Duniani CBD zimejaa scrapers, Utamu wa jiji CBD ivutie rudi kwenye uzi huko juu unasemaje,
 
Sifa ya wasomi huwa wanajibu facts kwa facts,hoja kwa hoja sio picha kwa picha au video kwa video 😀😀.IQ yako ni ndogo sana aisee
 
Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.
Sisi Mawakili ili ushinde kesi mahakamani lazima uwasilishe hoja zenye facts ili Judge akupe ushindi sio u-present picha za kuedit ndiomana ushahidi wa picha au video za kutengeneza huwa haukubaliki mahakamani😀😀.
Unazungumzia maghorofa ukifika Dom ni balaa😀😀.Idadi ya maghorofa yote ya Udom na colleges zake zote ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre.
Na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Tambukareli,Mji Mpya,One- way,Nyerere Square,Njedengwa Investment Area,Kisasa,Uzunguni,Area D,Mlimwa C,Miyuji,Magereza,NHC,Itega,Magufuli City n.k
Hapo Kuna fact kwa akili yako?. Acha kujinyanyua kijinga, mahakama ipi inakataa ushahidi wa picha?. Umesoma hata kidogo kweli?. Unajua kwenye forensic medicine na violences ushahidi wa picha ni muhimu sana?. Acha basi kujinyanyua kwa vitu usivyovielewa dogo.

Kutaja taja majina ya mitaa eti Area D, uzunguni, etc ndo fact kwako ????.
Wewe ni kati ya watu wenye akili kisoda na mbwembwe nyingi kama wauza chumvi ya mawe(chumvi kokoto).
 
Alafu huwa unautindio wa ubongo wewe sio bure, threads hii inajieleza huko juu au hata maana ya CBD hujui? Majiji yote Duniani CBD zimejaa scrapers, Utamu wa jiji CBD ivutie rudi kwenye uzi huko juu unasemaje,
Huyu alisababisha nikapigwa ban, unahangaika na Ile topic ya hesabu form two kwenye subsection ya "empty set". Yaani ni hamna kitu. Alivyokujazia hayo maneno na majina ya mitaa kwake ni fact yaani na hapo karidhika kabisa kwamba jf inastahili watu wenye bichwa kama lake.
Tutaje taje majina ya mitaa kama yeye na sisi tujiite wazee wa fact🤣🤣🤣🤣.

Concl. Huyu mwamba ni hamna kitu
 
Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.
Sisi Mawakili ili ushinde kesi mahakamani lazima uwasilishe hoja zenye facts ili Judge akupe ushindi sio u-present picha za kuedit ndiomana ushahidi wa picha au video za kutengeneza huwa haukubaliki mahakamani😀😀.
Unazungumzia maghorofa ukifika Dom ni balaa😀😀.Idadi ya maghorofa yote ya Udom na colleges zake zote ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre.
Na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Tambukareli,Mji Mpya,One- way,Nyerere Square,Njedengwa Investment Area,Kisasa,Uzunguni,Area D,Mlimwa C,Miyuji,Magereza,NHC,Itega,Magufuli City n.k
Uko sahihi,udom ipewe hadhi ya jiji,udom peje yaje inazidi miji mingi sana
 
Huyu alisababisha nikapigwa ban
Matusi,mipasho,michambo,porojo ndio zilisababisha ukapigwa ban wewe level zako ukabishane facebook huko ndio kuna ngonjera.Humu Jamiiforums- home of great thinkers tunabishana kwa "hoja" na "facts".IQ yako ni ndogo sana kubishana na wewe yaani inabidi nijishushe ni sawa na kulinganisha Marekani na Malawi😀😀
 
Alafu huwa unautindio wa ubongo wewe sio bure, threads hii inajieleza huko juu au hata maana ya CBD hujui? Majiji yote Duniani CBD zimejaa scrapers, Utamu wa jiji CBD ivutie rudi kwenye uzi huko juu unasemaje,
Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimi😀😀.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers 😀😀.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha 😀😀.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanza😀😀.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote 😀😀.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...🤣🤣
 
Huyu alisababisha nikapigwa ban, unahangaika na Ile topic ya hesabu form two kwenye subsection ya "empty set". Yaani ni hamna kitu. Alivyokujazia hayo maneno na majina ya mitaa kwake ni fact yaani na hapo karidhika kabisa kwamba jf inastahili watu wenye bichwa kama lake.
Tutaje taje majina ya mitaa kama yeye na sisi tujiite wazee wa fact🤣🤣🤣🤣.

Concl. Huyu mwamba ni hamna kitu
Huyu jamaa nimekua nikifaatiria chatting zake aise ni bonge moja la mshamba sana halafu bogus kinoma Thread inaongelea CBD ya Dodoma na Mwanza, yeye anakuja kukutajia majina ya mitaa mara ilazo, nzuguni, kweli Nzuguni kuna scraper ya 12f huko Au yeye akiona gorofa tu ndio anataja, Bora hata choice variable huwa anaenda na uthibitisho, JE NI KWELI CBD YA DODOMA INAIPIKU CBD YA MWANZA? sasa hapa tutaamini vipi bila picha? Daaah masare ni ndina kichizi
 
Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimi😀😀.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers 😀😀.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha 😀😀.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanza😀😀.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote 😀😀.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...🤣🤣
JE NI KWELI CBD YA DODOMA INAIPIKU CBD YA MWANZA? Hii ndio mada kuu wewe unaesema ni jiniazi THIBITISHA sasa na tukuamini bila picha, Ukijibiwa kwa hoja jibu kwa hoja, ukijibiwa kwa picha nawe jibu kwa picha, maneno mtupu ni sawa na kupiga story za kwenye kahawa, Jifunze kwa ndugu yako Choice variable yeye akijibiwa kwa picha na yeye anajibu kwa picha,, Mambo ya kututajia mara Udom je Udom ni CBD? Mwanza wamerusha baadhi ya maeneo yao ya CBD, Na wewe rusha aerial view ya CBD yako tuone
 
Title ya thread na mtoa mada aliyoianzisha inasema "Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?" Mtoa mada ameelezea vigezo,points na hoja kadhaa kwenye andiko lake na amekaribisha uchangiaji wa hoja sio picha.Hii sio thread ya picha...Hii ni thread ya hoja,points,facts na reality especially kwa watu kama sisi ambao tumeishi na kufanya kazi kwenye majiji haya yote mawili.
Hatukatai picha na vielelezo vingine zinaweza kutumika (hata mimi huwa marachache napost picha na vielelezo vingine) ila shida yenu nyinyi mnataka kugeuza hii thread kama studio ya kubishana picha na video.Facts mnapewa mnashindwa kuzijibu kwa facts saizi mnajificha kwenye kichaka cha picha ili kututoa kwenye reli.
Nikupe mfano kuna mmoja nilimpa fact ya kwamba Dodoma wamependelewa mtandao mpana wa barabara za lami kuliko mji wowote Tanzania akaniambia leta picha😀😀...sasa sijui alitaka niende nikapige picha ya barabara zote za lami Dom .
Tunapoelekea utakuja kubisha hata simple fact kuwa Ikulu au makazi ya Rais hayapo Dom mpaka uone picha+video ya drone ya Ikulu yote🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo CBD ya Dodoma imeizidi CBD ya Mwanza,, hebu leta mipaka ya CBD ya Dodoma na Mipaka ya CBD ya Mwanza halafu utoe facts wewe mzee wa facts ili tuhitimishe kuwa CBD ya Dodoma imeizidi CBD ya Mwanza
 
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)

Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Hakuna kitu kinachofanya niichukie Dodoma kama shida ya maji. Dodoma tunakunywa, tunapikie na tunaoga maji machafu sana. Ndio maana ukienda Hospital za Dodoma magonjwa ya tumbo nz macho yanaongoza. Ukiongeza na uchafu wa mji, hasa sokoni (majengo na sabasaba) na mitaro mchafu (pamoja na kuwa na barabara nzuri) sioni sifa ya uzuri wa Jiji la Dodoma.
 
Matusi,mipasho,michambo,porojo ndio zilisababisha ukapigwa ban wewe level zako ukabishane facebook huko ndio kuna ngonjera.Humu Jamiiforums- home of great thinkers tunabishana kwa "hoja" na "facts".IQ yako ni ndogo sana kubishana na wewe yaani inabidi nijishushe ni sawa na kulinganisha Marekani na Malawi😀😀
Nitakutukana Tena sitaki hata unquote.
 
Back
Top Bottom