Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ilemela ni sehemu gani kuna shida ya maji? jibu swali acha ujinga
Kuna mji unaitwa Ilemela Tanzania hii😀😀. Swali langu nilikuuliza nitajie mji wowote Tanzania ambao maji yanatoka mitaa yote ya mji mwakamzima 24/7 tumalize ubishi.
 
Unaishi jamii forum kwamba hata utumbo unaouandika wewe kwa jina takatifu la fact tuchukulie kuwa reference ya mabishano haya. Unakwama sana nilijua the sunk cost fallacy a.k.a ChoiceVariable anashida kumbe wewe ndo kimeo kabisa.
Nilishakwambia ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani,pili uwe na hoja,facts na details zilizoenda shule. IQ yako ni ndogosana kwangu ndiomana nilikushauri level zako wewe nenda facebook
 
Nilishakwambia ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani,pili uwe na hoja,facts na details zilizoenda shule. IQ yako ni ndogosana kwangu ndiomana nilikushauri level zako wewe nenda facebook
Pang'ang'a as usual fact haitwaji kijinga jinga, kutaja neno IQ haikufanyi kuwa na uelewa saaaaana. Ni vile tunakuchora tu. Yaani akili Huna na kila kitu huna watu wa sampuli yako mnaweza jikusanya mji mzima na Bado msieleweke.
 
Leta hotel zenu, ngonjera za Nini nawe mwanalizombe.
Nilijua ni Mimi pekeyangu naonaga Mwanza jau kumbe watu kibao wako wanaizodia Mwanza is Slum huko 😂😂👇👇
Screenshot_20241014-142010.jpg
Screenshot_20241014-142043.jpg
 
Ni mwendawazimu tu anaweza kulinganisha Mwanza na Dodoma, Mwanza ipo mbali sana.
 
Back
Top Bottom