Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GDP sio pesa ,tunaanza na hapa 👇👇👇
Kula chuma hicho
Watu hawali GDP.
Acha ujinga, utalinganishaje Jiji la dodma na manispaa ya ilemela????. Unajichekesha bila sababuGDP sio pesa ,tunaanza na hapa 👇👇👇
View attachment 3124970
Vs Mwanza 👇👇
View attachment 3124971
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Weka hapa Mapato ya Ilemela+Hilo mnaita Jiji hata nusu hamfiki 🤣🤣🤣Acha ujinga, utalinganishaje Jiji la dodma na manispaa ya ilemela????. Unajichekesha bila sababu
ongezea na hii👇👇.... thread inahusu jiji la Dodoma vs jiji la Mwanza sio mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Mwanza(wenye halmashauri nane) naona jamaa wanataka kujificha kwenye kichaka cha mkoa wa Mwanza🤣🤣
Hata wakiunganisha Mapato ya Halmashauri zao zote hazifikii Dom 😂😂ongezea na hii👇👇.... thread inahusu jiji la Dodoma vs jiji la Mwanza sio mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Mwanza(wenye halmashauri nane) naona jamaa wanataka kujificha kwenye kichaka cha mkoa wa Mwanza🤣🤣
-Mwanza ipo mbali kuzidi Dom kwenye population tu hilo halina ubishi(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sana🤣🤣)Ni mwendawazimu tu anaweza kulinganisha Mwanza na Dodoma, Mwanza ipo mbali sana.
Mmeongoza kukusanya ushuru wa minada uwele ,,tozo za taka ,na ada za vyoo 😁😁😁..ndio utajiri wenuongezea na hii👇👇.... thread inahusu jiji la Dodoma vs jiji la Mwanza sio mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Mwanza(wenye halmashauri nane) naona jamaa wanataka kujificha kwenye kichaka cha mkoa wa Mwanza🤣🤣
Clown 🤡 🤡 moron is vomiting again ..hızı pumba Zako kalishe nguruwe ndo zinawafaa ..kwa mipango Miji gani mlivyokuwa nayo nyie ...maghorofa Mengi yapı hayo hizo au hayo mabweni ya wanafunzi ndio ghorofa 🤡🤡🤡-Mwanza ipo mbali kuzidi Dom kwenye population tu hilo halina ubishi(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sana🤣🤣)
-Vigezo vingine kwamfano ubora wa mipangomiji na miundombinu,huduma za kijamii,usalama(ni nadra sana kusikia tukio la ujambazi ndani ya jiji la dodoma),taasisi za elimu ,majengo/maghorofa mengi,uwepo wa mashirika na taasisi nyingi za kimataifa,wizara+idara nyingi za serikali,viwanda,ikulu,balozi mbalimbali,makao makuu ya chama,serikali,bunge,mahakama ukijumlisha na projects nyingine nyingi za ujenzi zinazoendelea Dom ni sahihi kusema Mwanza kwa sasa haifiki hata robo ya ubora wa Dom
Maghorofa mengi kwa takwimu zipi? Mwanza tupo Dunia nyingine hata kwa majengo yanayoendelea kujengwa Mwanza ipo mbele.-Mwanza ipo mbali kuzidi Dom kwenye population tu hilo halina ubishi(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sana🤣🤣)
-Vigezo vingine kwamfano ubora wa mipangomiji na miundombinu,mtandao mpana wa barabara za lami ,huduma za kijamii,usalama(ni nadra sana kusikia tukio la ujambazi ndani ya jiji la dodoma),taasisi za elimu ,majengo/maghorofa mengi,uwepo wa mashirika na taasisi nyingi za kimataifa,wizara+idara nyingi za serikali,viwanda,ikulu,balozi mbalimbali,makao makuu ya chama,serikali,bunge,mahakama ukijumlisha na projects nyingine nyingi za ujenzi zinazoendelea Dom ni sahihi kusema Mwanza kwa sasa haifiki hata robo ya ubora wa Dom
Hizi ni takwimu za kimkoa-regionalwise sio kimjiMaghorofa mengi kwa takwimu zipi? Mwanza tupo Dunia nyingine hata kwa majengo yanayoendelea kujengwa Mwanza ipo mbele.
Ndio mmebakiwa na kichaka cha kujificha kwenye Ziwa Victoria 😀😀. Nairobi ni Jiji lisilo la Ziwa,Mto wala bahari linaizidi mara elfu jiji kwamfano Tanga iliyozungukwa na bahari🤣🤣.Dodoma imeizidi Mwanza kwenye ujangwa!
Eti maghorofa ya udom ..si useme tu mabweni ya wanafunzi 🤡🤡🤡🤡🤡Hizi ni takwimu za kimkoa-regionalwise sio kimji
.Idadi ya maghorofa yaliyopo Mtumba Government City ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Udom,Kisasa,Tambukareli,Medeli,Njedengwa Investment Area,City Center,Mji Mpya,Uzunguni,Magereza,Kilimani n.k 😀😀
ngoja nizoom kule juu mlimani nijione slums za kutosha...aibu sana kwa Mwanza iliyopewa hadhi ya jiji tangu miaka ya 2000Dodoma imeizidi Mwanza kwenye ujangwa!
Kwahiyo unahamisha magoli tena kutoka uwingi na idadi ya maghorofa saizi unataka urefu wa ghorofa🤣🤣Eti maghorofa ya udom ..si useme tu mabweni ya wanafunzi 🤡🤡🤡🤡🤡
Vijighorofa vya kishenzi unamtishia nani
Tunaomba mtutajie 12+tower mliyonayo hapo Kijijini kwenu 🤡🤡🤡
Wingi WA maghorofa.. ripoti ya NBS ishamaliza kazı ..maana tumewapiga mbali mno ..haya tuache kuangalia vighorofa ..leta ghorofa aka skyscrapers 12+towerKwahiyo unahamisha magoli tena kutoka uwingi na idadi ya maghorofa saizi unataka urefu wa ghorofa🤣🤣