Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kama hali ya hewa ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Njombe,Mafinga,Makete zingeshapewa hadhi ya Jiji tangu zamani..😀😀.Dom wamewakalisha Mwanza kila idara saizi mmebakia kujificha kwenye kichaka cha Ziwa Victor
Kutoka City Center mpaka UJASI-Udom ni mwendo wa dakika ngapi....kamakweli umewahi kufika Dom😀😀
UDOM ipo CBD?
 
UDOM ipo CBD?
Daraja la Kigongo(Misungwi)-Busisi(Sengerema) lipo ndani ya Mwanza CBD...!!? Kilasiku huwa unapost humu ukisifia kuwa ni iconic infrastructure ya Mwanza 😂😂
 
Kutoka City Center mpaka UJASI-Udom ni mwendo wa dakika ngapi....kamakweli umewahi kufika Dom😀😀
Wewe jamaa ni mwehu asee nishitaki Tena. Huna akili umejaa assumptions, childish!!!.
 
Daraja la Kigongo(Misungwi)-Busisi(Sengerema) lipo ndani ya Mwanza CBD...!!? Kilasiku huwa unapost humu ukisifia kuwa ni iconic infrastructure ya Mwanza 😂😂
Wew si unazungumzia maghorofa..au umetusikia sisi tunazungumzia maghorofa nje ya CBD ... Halafu nimekwambia uniletee 12+ tower happo kijijin kwenu
 
Unahamisha magoli tena😂😂..kwanza tukubaliane Dom imezidi Mwanza idadi ya maghorofa zaidi ya marambili na kwa projects nyingine za ujenzi wa maghorofa ya Serikali zinazoendelea ndani ya Jiji basi zikishakamilika baada ya miaka mitano mbele Dom watawazidi Mwanza idadi zaidi ya maratatu.
Urefu wa ghorofa sio point mfano mji A unaweza kuwa na ghorofa mbili tu za urefu wa 100fl na mji B una ghorofa 50 za 20 fl hapo mshindi ni mji B.
 
Wewe jamaa ni mwehu asee nishitaki Tena. Huna akili umejaa assumptions, childish!!!.
Sifayangu kubwa humu JF inayonitofautisha na "illiterate " kama wewe ni uwezo mkubwa wa kujenga hoja,facts,details. Sinaga muda wa kujibu michambo,mipasho,ngonjera,porojo ndiomana nilikushauri uende kabishane facebook huko ndio wamejaa MEMKWA wenzako ambao wanashindwa kujibu hoja wanaishia kumshambulia kwa matusi mtoa hoja😀😀😀
 
Unahamisha magoli tena😂😂..kwanza tukubaliane Dom imezidi Mwanza idadi ya maghorofa zaidi ya marambili na kwa projects nyingine za ujenzi wa maghorofa ya Serikali zinazoendelea ndani ya Jiji basi zikishakamilika baada ya miaka mitano mbele Dom watawazidi Mwanza idadi zaidi ya maratatu.
Urefu wa ghorofa sio point mfano mji A unaweza kuwa na ghorofa mbili tu za urefu wa 100fl na mji B una ghorofa 50 za 20 fl hapo mshindi ni mji B.
Naona unajifurahisha tumekuwekea takwimu kutoka NBS umebaki kutoa macho tu.
 
Takwimu za NBS ni za kimkoa au za kimji...!!? Unaleta takwimu za mkoa mzima wenye halmashauri 8 unataka kuzifanya ni za mji mmoja....kawadanganye washamba wenzio labda😂😂.
Kamavp anzisha thread mpya ya kushindanisha mkoa wa Mwanza na mkoa wa Dodoma alafu katumie hizo takwimu zako tutakuja kuchangia huko
 
Wewe jamaa ni mwehu asee nishitaki Tena. Huna akili umejaa assumptions, childish!!!.
Mnapata wapi nguvu za kubishana na mtu kichaa kama huyo, toka nijue nabishana na zwazwa asiyejielewa nimeamua kutulia tu ni bora choice kuliko hii jamaa la mataarabu, hana hoja hana fact ni mwendo wa kutaja mitaa tu akizani sehemu nyingine hakuna mitaa ukimwambia alete evidence hana ni mwendo wa porojo za maneno kama Aisha Mashauzi.
 
Unahamisha magoli tena😂😂..kwanza tukubaliane Dom imezidi Mwanza idadi ya maghorofa zaidi ya marambili na kwa projects nyingine za ujenzi wa maghorofa ya Serikali zinazoendelea ndani ya Jiji basi zikishakamilika baada ya miaka mitano mbele Dom watawazidi Mwanza idadi zaidi ya maratatu.
Urefu wa ghorofa sio point mfano mji A unaweza kuwa na ghorofa mbili tu za urefu wa 100fl na mji B una ghorofa 50 za 20 fl hapo mshindi ni mji B.
Unakubaliana na nani kwa misingi ipi kuwa Dodoma Ina ghorofa nyingi kuliko Mwanza..kitu nachokubali ni Dodoma kuwa na mabweni na kota nyingi za ghorofa kuliko Mwanza..
1728230036169.jpg
 
eti huyu naye anajiita msomi😂😂😂...Kiswahili tu kinakushinda kuandika English je utaweza wapi .Rudi facebook kabishane na MEMKWA wenzako mimi huwa nabishana na watu wenye IQ kubwa,wenye hoja na facts zilizoenda shule.
 
Daima mti dhaifu utafuta dosari ndogo kuficha upumbavu wake, wewe ni hamnazo, level ya kufikiri na kuwaza ni sawa na mtoto wa chekechea, kabishanena na watoto wenzako.
 
Mnapata wapi nguvu za kubishana na mtu kichaa kama huyo, toka nijue nabishana na zwazwa asiyejielewa nimeamua kutulia tu ni bora choice kuliko hii jamaa la mataarabu, hana hoja hana fact ni mwendo wa kutaja mitaa tu akizani sehemu nyingine hakuna mitaa ukimwambia alete evidence hana ni mwendo wa porojo za maneno kama Aisha Mashauzi.
Hata mm nishamsoma nikaona hamna kitu kichwani, Kila siku anakwambia sehemu iliyopangwa mwanza ni Capri Point tu, Unabaki unacheka tu, 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Capripoint wakati inapumuliwa kisogoni na mitaa kama Bwiru, Ilemela, mwanachi, majengo na ibanda mtu wa hivyo haijui Mwanza, bado kuna mitaa hata hiyo Ilazo na kisasa haiwezi kutia miguu kama vile Nyasaka, buswelu, kiseke, nyamhongolo, mkolani n.k kutwa nzima kupost picha za Igogo kakipande kadogo ka mlimani kamekuwa ni fimbo ya kutuchapia.
 
Dodoma masikini wakutupwa pia yanajisaidia vichakani hovyo
Huyo masare anataka majibizano ya hivi ya maneno matupu ukimwambke leta figure au evidence ya kile anachoongea hana, utasikia anaanza kujitapa kuwa ana facts, nyie endeleeni kubishana naye kwa huu mwendo wa maneno matupu.
 
Back
Top Bottom