Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wapi haipo sasa kwa akili yako?
Wewe MEMKWA nimekuwekea na "official references" kabisa apo ya branches za PBZ fungua hiyo link usome...mpaka sasa Mwanza haijawa updated😂😂😂 alafu yule mshamba mwenzako anasema eti ilikuwepo tangu 2018🤣🤣🤣🤣
 
Hotels- mwanza
Masoko - mwanza
Wingi wa majengo marefu - mwanza
Stations nyingi za radio (media)- mwanza
Stand za mabasi- mwanza
Sehemu nyingi za kuchill - mwanza
Viwanja vya mipira - mwanza
Population - mwanza
Hali ya hewa - mwanza
Hali ya kipato Cha mtu mmoja mmoja - mwanza
Everything- mwanza
Njooni mjichanganye sasa tupitie kimoja baada ya kingine

-Population yes Mwanza wanazidi Dom hilo halina ubishi.
Vingine vyote Dom wanawazidi Mwanza kuanzia👇
-Mapato (halmashauri ya Jiji+TRA) ---Master Plan of the city
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Ujenzi sahihi wa makazi+mipangomji
-Wingi wa maghorofa
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Education centers
-Health centers
-Uwepo wa ofisi na taasisi nyingi za Serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama+serikali
-International offices nyingi+Balozi
 
Viwanja gani vya mpira mnaizidi Dom? Unajua Dom wanajenga viwanja vingapi si tuu vya mpira Hadi vya golf?

Hilo la stendi Kaa Kwa kutulia,Tactic inajenga stendi za Mabasi 3 za size ya kati hapo Dom

Kipato Cha mtu mmja mmja? 😆😆😆🤪 Ndio mnajenga hayo mabanda yenu?

Mwanza Ina hoteli nyingi zipi hizo wakati Haina hata wageni na movement ya watu kama Dom?

Mwanza Ina majengo marefu mengi yapi zaidi ya Nssf hotel? Dom Ina majengo marefu ma 3 rasmi na mengine yanakuja eg TCRA.

Tofauti na idadi ya watu Sababu zingine ni za ujinga eti halinya hewa 😁😁
 
Wewe MEMKWA nimekuwekea na "official references" kabisa apo ya branches za PBZ fungua hiyo link usome...mpaka sasa Mwanza haijawa updated😂😂😂 alafu yule mshamba mwenzako anasema eti ilikuwepo tangu 2018🤣🤣🤣🤣
Mwanza haipo au ipo mbona unaruka ruka ihali unajua ipo. Leta kitu ambacho hakipo ndo ukaze fuvu dogo. Unakuwa hueleweki
 
-Population yes Mwanza wanazidi Dom hilo halina ubishi.
Vingine vyote Dom wanawazidi Mwanza kuanzia👇
-Mapato (halmashauri ya Jiji+TRA) ---Master Plan of the city
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Ujenzi sahihi wa makazi+mipangomji
-Wingi wa maghorofa
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Education centers
-Health centers
-Uwepo wa ofisi na taasisi nyingi za Serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama+serikali
-International offices nyingi+Balozi
Tuanze sasa kuleta ushahidi a.k.a references kusupport hoja zetu. Tuanze na hotel maana kwenye mkeka nilioleta umesema ni population tu Mwanza inaizidi Dodoma. Sasa karibu jamvini punguza maneno maneno twende kwa vitendo. Mkeka wangu ukiisha tunakuja wa kwako mpaka kieleweke. Let's go....
 
Viwanja gani vya mpira mnaizidi Dom? Unajua Dom wanajenga viwanja vingapi si tuu vya mpira Hadi vya golf?

Hilo la stendi Kaa Kwa kutulia,Tactic inajenga stendi za Mabasi 3 za size ya kati hapo Dom

Kipato Cha mtu mmja mmja? 😆😆😆🤪 Ndio mnajenga hayo mabanda yenu?

Mwanza Ina hoteli nyingi zipi hizo wakati Haina hata wageni na movement ya watu kama Dom?

Mwanza Ina majengo marefu mengi yapi zaidi ya Nssf hotel? Dom Ina majengo marefu ma 3 rasmi na mengine yanakuja eg TCRA.

Tofauti na idadi ya watu Sababu zingine ni za ujinga eti halinya hewa 😁😁
Mnajenga sisi tushajenga acha kubwabwaja dogo, na plan za kujenga vingine zipo ukiachana na sports centre uwe unaelewa Mimi siyo kinda mwenzio.
 
Wewe twende na reference punguza maneno. Majengo marefu matatu ndo unavimba nayo kweli????.
 
images (43).jpeg
images (42).jpeg

Gwambina stadium
images (44).jpeg
images (45).jpeg

Nyamagana stadium
CCM_Kirumba_Stadium_Mwanza.JPG

Ccm KIRUMBA.
Bado sijakuletea sports centre za nyakabungo, mabatini, kiseke n.k
 
Mnajenga sisi tushajenga acha kubwabwaja dogo, na plan za kujenga vingine zipo ukiachana na sports centre uwe unaelewa Mimi siyo kinda mwenzio.
Dogo ni mkeo.

Mwanza inaizidi Dodoma vitu vya kijinga eg watu maskini na eti halinya hewa 😆😆

Wenzenu Arusha walishanyanyua mikono Juu,mumebakia kujivimbisha with nothing to show on ground

Dom HQ
Screenshot_20241019-172420.jpg
Screenshot_20241019-173707.jpg
Screenshot_20241019-173650.jpg
Screenshot_20241019-173731.jpg
Screenshot_20241019-174359.jpg
 
Nimewaambia twendeni na data plus picha nikiweka humu si mtaanza kulia nyie . Mnabwabwaja tu bila mpagilio
Data ukizoweka ziko wapi zaidi ya kusema Yako mengi? Taja na weka picha ya Dom yanajulikana
Dom Hotel
Kambara hotel
Psssf House
 
Nijibu kwanza na viwanja vyenu acha porojo na ukitaka level ya chinangali useme mapema tu.
 
Back
Top Bottom