Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ilikuwepo Mbeya kabla ya Mwanza 🤪🤪👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1843644627666235764?t=q3GO49Z59eu3lRTYzLM3KA&s=19

Mwisho PBZ Iko Dom kitambo sana.

Kiufupi Mwanza Kuna maskini Benki zinajikongoja kuja.

Hivi vibenk vya kienyeji ni vya kumitishia mtu kweli ....
Dodoma kwenye suala la financial services hamuisogelei mwanza hata mita 7000 ..we are very far

International brand bank kama hizi huwezi ziona huko matumbulu mahomanyika
Screenshot_20241020-092927_1.jpg
 
Unatia aibu sana naona unaruka ruka tu ...Kwanza tumekufuta ujinga wa kutokujua kwamba wenzenu Dom PBZ ilishafungua tawi huko kitambo hilo shukuru umepata elimu ya bure😂😂
.Pili Jiji la Dom limeipita Mwanza Jiji mapato mbali sana usilete habari za "mkoa" wa Mwanza wenye halmashauri nane .
Rudi shule aisee
Tunaomba kujua kama hizi international banks zipo huko
FNB
STANDARD CHARTERED
BANK OF BARODA
AFRICAN HABIB
ECO BANK
msituletee vibenk vya kienyeji hapa
 
Tunaomba kujua kama hizi international banks zipo huko
FNB
STANDARD CHARTERED
BANK OF BARODA
AFRICAN HABIB
ECO BANK
msituletee vibenk vya kienyeji hapa
Umehamisha magoli tena😂😂😂....mpaka sasa ubao unasoma 3-0
 
Dom HQ 👇👇

View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=S7kkQHJh9SrUKO24

Mkuu utateseka sana ,Dom ilishavuka level za kuwa local kama Mwanza 👇👇

View: https://youtu.be/Ys8gKKWny8E?si=LdSQo0A0xhKKqEW7

Ukitaka kuamini Dodoma ni useless
Utaona wanapost maeneo Yale Yale ..
NHC iyumbu, magufuli city ,udom ,ilazo ,ofisi za serikali njendengwa na ofisi za taasisi tambukareli 😁😁😁

Wambie wapost maeneo mengine yasiyo mbeleko za serikali utacheka utalia ...
Upcoming kichapo Cha mbwa mwitu ..tunatakaa huu Uzi muwe mnachungulia tu ..maana mwanza sio level za matumbulu desert
 
Back
Top Bottom