Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Yaani Kilasiku Dom vs mwanza! Hivi hamna kazi ya kufanya? Kwani ukienda hiyo miji 2 ukaingalia ukapata jibu unalolitaka utakufa? Maana naona sasa umekua msumbufu humu jamvini! Ongea vitu sio ujinga2 wa kushindanisha miji mibovu hii ya bongo! Kama unataka kuona miji una kiu nenda nje ya tz, bongo hakuna Mji wa maana. Kama utaendelea na usumbufu wako humu ndani nakuhakikishia hata kutunza familia utashindwa maana utakuwa ni mbu3 wa kiwango cha lami!
 
Wewe ni mjinga kama sio chizi Kuna nyuzi ngapi humu JF mbona üsiende huko unakuja humu ..au ulitaka tujadili LGBTQ ndio uone tunajadili ya maana ..usichopenda wew sisi tunapenda
 
Yaani Kilasiku Dom vs mwanza! Hivi hamna kazi ya kufanya? Kwani ukienda hiyo miji 2 ukaingalia ukapata jibu unalolitaka utakufa? Maana naona sasa umekua msumbufu humu jamvini! Ongea vitu sio ujinga2 wa kushindanisha miji mibovu hii ya bongo! Kama unataka kuona miji una kiu nenda nje ya tz, bongo hakuna Mji wa maana. Kama utaendelea na usumbufu wako humu ndani nakuhakikishia hata kutunza familia utashindwa maana utakuwa ni mbu3 wa kiwango cha lami!
Wewe nawe fala tu umeunyea Uzi, mngese kweli jf ni kijisehemu Cha burudani na huwezi kupangia watu kitu Cha kufanya. Penga Hilo kamasi kichwani mwako limekaa sehemu ambayo ilitakuwa ukae ubongo.
 
Nilikwambia ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts sio ushabiki maandazi la sivyo nitakuaibisha tu kama wenzako😂😂👇

Trash
 
1.passion fm
2.kiss fm
3.mazingira fm
4.living water fm
5.lake fm
6.afya fm
7.Radio free Africa
8.iqra fm
9.city fm
10.redio kwa neema fm
11.ushindi fm
12.saut fm hii ni ya chuo saut
13.metro fm
14.huruma fm
15.hhc alive fm
16.pasiasi fm
17.amani fm
18.mwongozo fm
19.wema fm
20.shalom fm
Hivyo ni baadhi katika vingi

Haya magazeti
1.mzawa
2.mwelekeo
3 la tatu mwana mwanza aje anikumbushe nimelisahau kidogo ila lipo Hilo gazeti

Television Tena kubwa ni
1.Star tv hii ina coverage nchi nzima kuliko tv yoyote ya hapo ukameni village
2.Barmeda Tv. Wana mwanza wanajua utamu wa hii kitu.
4.cables za kumwaga oooh Dodoma inatia huruma🤣🤣🤣🤣🤣
Magazeti ongeza na msanii Africa gazeti kongwe sana ili kwa Tanzania.
 
Endelea kujifariji shabiki maandazi ...sikuzote mimi ni facts,details,evidences,references zilizoenda shule
Hivi wewe kigagula ukitaja hayo maneno Huwa unafikiri Kuna mtu anaweweseka nayo. Mara facts, evidence yaani ujinga ujinga tu.
 
Magazeti ongeza na msanii Africa gazeti kongwe sana ili kwa Tanzania.
Mnajivunia vitu vya kijinga.

Kula Chuma hicho kutoka Nala Dom HQ🔥🔥🔥👇👇

View: https://youtu.be/JjaFG5PmIjM?si=bAlkh1zUNbf13j_g
Screenshot_20241020-200307.jpg
Screenshot_20241020-200256.jpg
Screenshot_20241020-200333.jpg
 
Wewe MEMKWA nimekuwekea na "official references" kabisa apo ya branches za PBZ fungua hiyo link usome...mpaka sasa Mwanza haijawa updated😂😂😂 alafu yule mshamba mwenzako anasema eti ilikuwepo tangu 2018🤣🤣🤣🤣
Rubbish.
 
-Population yes Mwanza wanazidi Dom hilo halina ubishi.
Vingine vyote Dom wanawazidi Mwanza kuanzia👇
-Mapato (halmashauri ya Jiji+TRA) ---Master Plan of the city
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Ujenzi sahihi wa makazi+mipangomji
-Wingi wa maghorofa
-Ongoing Projects
-Future Projects proposed
-Education centers
-Health centers
-Uwepo wa ofisi na taasisi nyingi za Serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama+serikali
-International offices nyingi+Balozi
[/QUOTE
USELESS.
 
Huwezi kuona wakipost "layout" ya mtaa wote kama hii huwa wanaokoteza picha za nyumba nzurinzuri tu ndiomana hazina background kule juu milimani😂😂😂
Wewe nae ni limbukeni wa kitupa Kuna maajabu Gani hapo Juzi Kuna mtu wa Mwanza karusha picha ya karibu na Bwiru yenye eneo kubwa Toa huo uchafu
 
Back
Top Bottom