Yaani Kilasiku Dom vs mwanza! Hivi hamna kazi ya kufanya? Kwani ukienda hiyo miji 2 ukaingalia ukapata jibu unalolitaka utakufa? Maana naona sasa umekua msumbufu humu jamvini! Ongea vitu sio ujinga2 wa kushindanisha miji mibovu hii ya bongo! Kama unataka kuona miji una kiu nenda nje ya tz, bongo hakuna Mji wa maana. Kama utaendelea na usumbufu wako humu ndani nakuhakikishia hata kutunza familia utashindwa maana utakuwa ni mbu3 wa kiwango cha lami!