Shida ya huyu KIMA analazimisha Dodoma iwe juu kwa kila zidi ya Mwanza, hapo ndipo anapoferi kila mji una angles zake huwezi mji ukawa juu kwa kila kitu, Dodoma wao waendelee na Ofisi zao za kiserikali na taasisi maana ni Capital city ila kwa angles zingine lazima walambe mchanga tu, Mwanza itaendelea kuwa jiji la kibiashara ukanda wa maziwa makuu, kukamilika kwa
1.Internation Airport
2.Dual carriage kutoka mwanza Zero mpaka Jpm bridge,
3.Mswahili sgr via duct
4.Dual carriage nata to Kisesa plus mabey fryover junction ya Buzuruga,
5.Dual carriage pamba road
6.Airport road to Nyanguge via igombe
7.4lanes usagara kisesa by pass
8.Usaga to fella dry port
9.Ile by pass ya kisesa to airport
10.Ujio wa manispaa mpya ya kisesa
Jiji halitakamatika hili, Wenye Chuki na mwanza wao waendelee kuchukia, Wasifikiri Dodoma kuwa capital city na majiji mengine yatapoa hapo never, Jiji ambalo halipo kwenye ramani ni Mbeya na Tanga, Ila Dodoma kwa Mwanza na Arusha bado ana mwendo sana tu,