Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

ficha ujinga wako wewe MEMKWA tangulini shirika la ndege ATCL likajenga uwanja wa ndege😀😀😀. Viwanja vya ndege vyote Tanzania vipo chini ya TAA.
😀😀😀Tumia ID yako ya sikuzote manake hii unayotumia inaonesha umejoin JF mwezi uliopita....utaendelea kuaibika tu🤣

ficha ujinga wako wewe MEMKWA tangulini shirika la ndege ATCL likajenga uwanja wa ndege😀😀😀. Viwanja vya ndege vyote Tanzania vipo chini ya TAA.
😀😀😀Tumia ID yako ya sikuzote manake hii unayotumia inaonesha umejoin JF mwezi uliopita....utaendelea kuaibika tu🤣🤣
Nikupe elimu kidogo we ndondocha kwa taarifa Yako ATCL na TAA wanafanya kazi kwa karibu sana ATCL wanaweza kutoa mapendekezo TAA wakayafanyia kazi Juzi Juzi ladslaus matindi mkurugenzi wa ATCL amesema uwanja wa ndege wa mwanza kutajengwa vvip lounge kubwa sana yeny migahawa ya kifahari na akasema Mwanza ni mkoa wao wa kimkakati
View attachment 3132560
Nera, a new upcoming CBD
Mwambie kilaza wa ukameni village akuletee view kama hii ataokoteza vijengo vya wizara uchwara na kukuletea 🤣🤣🤣
 
😀😀what...!!? a new upcoming CBD with unattractive/disfigured background 🤣🤣🤣🤣
Your eyes can't see anything bcoz your mind mimics/ imitates your own vision, a typical characteristic of most idiots.
 
Ukame village
Screenshot_20241016-172937~2.png
 
Childish ...umeishiwa hoja hadi unaanza kujadili hali ya hewa ambacho ni kitu natural😀😀.
Kajadili hali ya hewa ya Dubai alafu uje ulinganishe
Hakuna jipya hapo 🤣 🤣🤣 Mwanza beaches ziko 🔥 I love mwanza
 
Ikiwa huna data +facts utakimbia tu wewe nenda kwenye ile thread yenu ya picha na michambo😀
Facts Gani nyie vilaza tu mara ngapi mmeombwa picha Kali za ukameni village halafu nyie Kila siku mnatuma matangazo ya madalali wa viwanja mnadhani sie tunataka viwanja vya ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣 nani Aishi ukameni?🤣🤣🤣🤣
 
Childish ...umeishiwa hoja hadi unaanza kujadili hali ya hewa ambacho ni kitu natural😀😀.
Kajadili hali ya hewa ya Dubai alafu uje ulinganishe
Pole sana! Maumivu ni makali sana kunywa maji mengi, by the way Dubai ulinganishe na nyie ombaomba wa Dodoma itakuwa maajabu ya karne.
 
Pole sana! Maumivu ni makali sana kunywa maji mengi, by the way Dubai ulinganishe na nyie ombaomba wa Dodoma itakuwa maajabu ya karne.
Niambie hali ya hewa ya Dubai,Cairo,Windhoek, Tunis,Alexandria kamamweli umesoma geography ...😀😀
 
Uwiiiiiiiiii🤣🤣🤣😃wewe bwabwa kweli ngoja nikutafutie link mshamba wewe duuuh amesema wanajenga airport lounge ya kisasa sana kwa kushirikiana na TAA JF imekushinda huna jipya🤣🤣🤣🤣 Mwanza mwendo mdundo na bado nyie vilaza wa ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe kweli ni "amateur" hujui kitu chochote...ebu nipe hiyo link inayoonesha ATCL wanajenga Airport lounge ya Mwanza😀😀.
Mwenye dhamana ya viwanja vya ndege ni TAA. ATCL,AURIC AIR,COASTAL AIR haya ni makampuni ya biashara ya ndege hayahusiki na ujenzi wa viwanja .
 
Hujui kitu 🤣🤣🤣🤣ATCL ni shirika la ndege la serikali unalitenganisha vp na TAA eti na wewe unajiita mjanja duuuuuuuuh hili ni janga la Karne🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Niambie hali ya hewa ya Dubai,Cairo,Windhoek, Tunis,Alexandria kamamweli umesoma geography ...😀😀
Hali ya hewa ya ukameni ni joto lilichanganyikana na tope na vumbi iondoe Dubai kwenye huu Uzi hapa ni CBD ya mwanza na CBD ya ukameni 🤣🤣🤣🤣 village
 
Back
Top Bottom