Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Dodoma wajenge nini Mwanza itabaki kuwa Mwanza.Hivi viwanja yamekuwapo hapo Dar miaka yote na yanarekebishwa kila siku pamoja na bandari ikiwemo lakini Mwanza GDP ni 20bil na Dar GDP ni 27bilMwanza inajikongoja wakati Dom inakimbia.
Utajua hujui 👇 👇
View attachment 3234907View attachment 3234908View attachment 3234909View attachment 3234910View attachment 3234911View attachment 3234912View attachment 3234913View attachment 3234914
Hiyo Mwanza GDP ni ya Mwanza Jiji au Mwanza Mkoa....soma title ya thread acha kukurupuka +ushabiki maandazi😂😂Hata Dodoma wajenge nini Mwanza itabaki kuwa Mwanza.Hivi viwanja yamekuwapo hapo Dar miaka yote na yanarekebishwa kila siku pamoja na bandari ikiwemo lakini Mwanza GDP ni 20bil na Dar GDP ni 27bil
Kwani GDP ya Dar ni yamkoa au jiji??Hiyo Mwanza GDP ni ya Mwanza Jiji au Mwanza Mkoa....soma title ya thread acha kukurupuka +ushabiki maandazi😂😂
Wewe ni kima kweli,GDP ya Mwanza iwe 20bln muitoe wapi? 😁😁😁😁😁Hata Dodoma wajenge nini Mwanza itabaki kuwa Mwanza.Hivi viwanja yamekuwapo hapo Dar miaka yote na yanarekebishwa kila siku pamoja na bandari ikiwemo lakini Mwanza GDP ni 20bil na Dar GDP ni 27bil
Mwanza haina GDP ya Mkoa ya 20bln ni 12 bln weweKwani GDP ya Dar ni yamkoa au jiji??
Jipya hili hapa 👇 👇Hamna jipya..pyee
Wewe ni kima kweli,GDP ya Mwanza iwe 20bln muitoe wapi? 😁😁😁😁😁
Dodoma imeshawanyea ndugu hakuna namna 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGJJgKrNC7P/?igsh=NTMzb2t4cHNmdTNs
Hiyo GDP 12bil labda ni Geita ambayo inaizidi Arusha jumlisha Dodoma.Mwanza haina GDP ya Mkoa ya 20bln ni 12 bln wewe
Wewe nyumbu mbona mbishi sana ? 😂😂Hiyo GDP 12bil labda ni Geita ambayo inaizidi Arusha jumlisha Dodoma.
Soma title ya thread....kama huna hoja na facts basi anzisha thread nyingine ya Mwanza RC vs Dom RCKwani GDP ya Dar ni yamkoa au jiji??
Kitu ambocho huelewi ni Kwamba siwezi kuzungumzi GDP nikausisha Dodoma kwasababu hiyo Dodoma kwenye swala la uchumi hata top 10 haimo zaidi ya siasa na midomo tu.Wakati wengine wanafanya kazi wao wanasubiri kupewa kwa kigizo cha siasa.Kama tunazungumzia siasa hakuna shida tuendelee Kabisa.Soma title ya thread....kama huna hoja na facts basi anzisha thread nyingine ya Mwanza RC vs Dom RC
Kuhusu ujangwa wa Dodoma huo hauna mjadala labda tuamue kuweka vichwa pembeni ili tuendelee kubishana vzuri.Kuna watu huwa wanatuambia eti Dom ni Jangwani hakuna madini yoyote😂😂😂
Title ya thread ni Dom City vs Mwanza City sio Dom Region vs Mwanza Region usijitoe ufahamu. Leta data/facts za kuonesha Mwanza Jiji inaizidi Dom Jiji chochote kile ukitoa population pekee😂😂.Kitu ambocho huelewi ni Kwamba siwezi kuzungumzi GDP nikausisha Dodoma kwasababu hiyo Dodoma kwenye swala la uchumi hata top 10 haimo zaidi ya siasa na midomo tu.Wakati wengine wanafanya kazi wao wanasubiri kupewa kwa kigizo cha siasa.Kama tunazungumzia siasa hakuna shida tuendelee Kabisa.
Hata kama hakuna reference nadhani umenielewa maana ya jiji ni jambo la ajabu sana duniani kuwepo kwa jiji duniani ambalo linazidiwa uchumi na halmashauri za miji kama Geita.Itafika hatua sekretariti ya ajira kupima watu akili kabla ya kuaji.Hivi Dodoma ilipata hadhi ya jiji kwa kigezo gani cha kitaalam??😂😂Wewe nyumbu mbona mbishi sana ? 😂😂
Mwanza ni Kijiji kama Vijiji vingine usishushuke hakuna kitu kule
View attachment 3238384
Kungekua na ujangwa inakuaje tena wanaongoza tanzania nzima kwa kilimo cha Alizeti,Zabibu,ufuta,mtama,rosella,tende,karanga,uwele bila kusahau soko kubwa la kimataifa la mahindi+nafaka likajengwa kibaigwa,ranchi kubwa kuliko zote Afrika ikajengwa Narco-Kongwa....😂😂 rudi shule aiseeKuhusu ujangwa wa Dodoma huo hauna mjadala labda tuamue kuweka vichwa pembeni ili tuendelee kubishana vzuri.
Nilichogundua uelewi unachozungumzia,kwa hiyo ulitaka mtama na ufuta vilimwe kilimanjaro,iringa au kagera? Au haujui kwanini vinalimwa DodOma??Kama Kitu haukijui jaribu kuuliza ili usahidiwe kuliko kubisha kwenye hakuna.Kungekua na ujangwa inakuaje tena wanaongoza tanzania nzima kwa kilimo cha Alizeti,Zabibu,ufuta,mtama,rosella,tende,karanga,uwele bila kusahau soko kubwa la kimataifa la mahindi+nafaka likajengwa kibaigwa,ranchi kubwa kuliko zote Afrika ikajengwa Narco-Kongwa....😂😂 rudi shule aisee
kiswahili cha wapi ...kumbe nabishana na MEMKWA 😂😂. Huku ni JF sio facebook kama huna hoja+facts utaaibika nduguusahidiwe
😂😂uelewi
Kama unamashaka na elimu yangu basi nikujulishe tu mimi ni classmate wa rais wa nchi hii na rais wako.kiswahili cha wapi ...kumbe nabishana na MEMKWA 😂😂. Huku ni JF sio facebook kama huna hoja+facts utaaibika ndugu
😂😂