Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hata Dodoma wajenge nini Mwanza itabaki kuwa Mwanza.Hivi viwanja yamekuwapo hapo Dar miaka yote na yanarekebishwa kila siku pamoja na bandari ikiwemo lakini Mwanza GDP ni 20bil na Dar GDP ni 27bil
Hiyo Mwanza GDP ni ya Mwanza Jiji au Mwanza Mkoa....soma title ya thread acha kukurupuka +ushabiki maandazi😂😂
 
Hiyo GDP 12bil labda ni Geita ambayo inaizidi Arusha jumlisha Dodoma.
Wewe nyumbu mbona mbishi sana ? 😂😂

Mwanza ni Kijiji kama Vijiji vingine usishushuke hakuna kitu kule
Screenshot_20240903-203253.jpg
 
Soma title ya thread....kama huna hoja na facts basi anzisha thread nyingine ya Mwanza RC vs Dom RC
Kitu ambocho huelewi ni Kwamba siwezi kuzungumzi GDP nikausisha Dodoma kwasababu hiyo Dodoma kwenye swala la uchumi hata top 10 haimo zaidi ya siasa na midomo tu.Wakati wengine wanafanya kazi wao wanasubiri kupewa kwa kigizo cha siasa.Kama tunazungumzia siasa hakuna shida tuendelee Kabisa.
 
Title ya thread ni Dom City vs Mwanza City sio Dom Region vs Mwanza Region usijitoe ufahamu. Leta data/facts za kuonesha Mwanza Jiji inaizidi Dom Jiji chochote kile ukitoa population pekee😂😂.
Kwamfano kuanzia mapato TRA, makusanyo ya halmashauri ,uwekezaji,vyanzo vipya Dom Jiji wamewazidi mbali sana Mwanza Jiji

Wewe nyumbu mbona mbishi sana ? 😂😂

Mwanza ni Kijiji kama Vijiji vingine usishushuke hakuna kitu kule
View attachment 3238384
Hata kama hakuna reference nadhani umenielewa maana ya jiji ni jambo la ajabu sana duniani kuwepo kwa jiji duniani ambalo linazidiwa uchumi na halmashauri za miji kama Geita.Itafika hatua sekretariti ya ajira kupima watu akili kabla ya kuaji.Hivi Dodoma ilipata hadhi ya jiji kwa kigezo gani cha kitaalam??😂😂
 
Kuhusu ujangwa wa Dodoma huo hauna mjadala labda tuamue kuweka vichwa pembeni ili tuendelee kubishana vzuri.
Kungekua na ujangwa inakuaje tena wanaongoza tanzania nzima kwa kilimo cha Alizeti,Zabibu,ufuta,mtama,rosella,tende,karanga,uwele bila kusahau soko kubwa la kimataifa la mahindi+nafaka likajengwa kibaigwa,ranchi kubwa kuliko zote Afrika ikajengwa Narco-Kongwa....😂😂 rudi shule aisee
 
Nilichogundua uelewi unachozungumzia,kwa hiyo ulitaka mtama na ufuta vilimwe kilimanjaro,iringa au kagera? Au haujui kwanini vinalimwa DodOma??Kama Kitu haukijui jaribu kuuliza ili usahidiwe kuliko kubisha kwenye hakuna.
 
kiswahili cha wapi ...kumbe nabishana na MEMKWA 😂😂. Huku ni JF sio facebook kama huna hoja+facts utaaibika ndugu

😂😂
Kama unamashaka na elimu yangu basi nikujulishe tu mimi ni classmate wa rais wa nchi hii na rais wako.
 
Back
Top Bottom