Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

kiswahili cha wapi ...kumbe nabishana na MEMKWA πŸ˜‚πŸ˜‚. Huku ni JF sio facebook kama huna hoja+facts utaaibika ndugu

πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€pole sana sidhani kama maana ya hoja + facts unaifahamu.Mtu kama hujui kwanini mtama na ufuta vinalimwa Dodoma sasa tutegemee hoja au fact gani kama vitu vidogo vinakushinda.Wewe bakia kuangaika na spelling error.
 
Hata kama hakuna reference nadhani umenielewa maana ya jiji ni jambo la ajabu sana duniani kuwepo kwa jiji duniani ambalo linazidiwa uchumi na halmashauri za miji kama Geita.Itafika hatua sekretariti ya ajira kupima watu akili kabla ya kuaji.Hivi Dodoma ilipata hadhi ya jiji kwa kigezo gani cha kitaalam??πŸ˜‚πŸ˜‚
Shida wewe ndugu unahemka ,Dodoma inayoizidi Mwanza,Arusha na Mbeya inaanzaje kuzidiwa na Geita? Acha masihara basi.
 
Kungekua na ujangwa inakuaje tena wanaongoza tanzania nzima kwa kilimo cha Alizeti,Zabibu,ufuta,mtama,rosella,tende,karanga,uwele bila kusahau soko kubwa la kimataifa la mahindi+nafaka likajengwa kibaigwa,ranchi kubwa kuliko zote Afrika ikajengwa Narco-Kongwa....πŸ˜‚πŸ˜‚ rudi shule aisee
Unajua maana ya mazao yanayostahimili UKAME? 😁
 
πŸ’₯πŸ’₯Dodoma wanapendelewa sana aisee... kwenye mtandao mpana wa barabara za lami Tanzania hawana mpinzani.Jiji limepangiliwa haswaa
Habari ya Mjini ni Dom HQ na Dar tuu,sie wengine ngoja tusubirie nature ndio itumimuzishe.
 
Mwanza mnatia huruma sana πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGLHxf3N905/?igsh=YTJrOTk5YThsenk5

Kwenye swala la kiuchumi (mapato na uzalishaji)ni ngumu sana Dodoma kushindana na miji kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam kwa sababu miji hii imeendelea kutokana na kuwa na shughuli nyingi za kiuchumi na mzunguko mkubwa wa pesa ila kwenye mpangilio Dodoma haitakua na mpinzani maana imepata bahati ya kujengewa miundombinu bora mapema kabla haijawa na mlundikano mkubwa wa watu tofauti na majiji mengine ambayo yalipata ongezeko kubwa la watu kabla ya miundombinu kuja hivyo ni vigumu kuyapangilia kwa sasa maana itahitaji kuvunja na kubomoa makazi na majengo mengi ya watu
 
Yaani nyie ni zero brain kabisa.

For your info tuu ni kwamba
1.Mkoa wa Dodoma umexidi Mwanza Mapato ya TRA
2.Mkoa wa Dodoma umezidi.mwanza Mapato ya Halmashauri (own source)
3.Jiji la Dodoma limezidi Arusha na Mwanza Kwa Mapato ya own source

Note:
Hizo porojo zenunazitoaga wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye swala la kiuchumi (mapato na uzalishaji)ni ngumu sana Dodoma kushindana na miji kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam kwa sababu miji hii imeendelea kutokana na kuwa na shughuli nyingi za kiuchumi na mzunguko mkubwa wa pesa ila kwenye mpangilio Dodoma haitakua na mpinzani maana imepata bahati ya kujengewa miundombinu bora mapema kabla haijawa na mlundikano mkubwa wa watu tofauti na majiji mengine ambayo yalipata ongezeko kubwa la watu kabla ya miundombinu kuja hivyo ni vigumu kuyapangilia kwa sasa maana itahitaji kuvunja na kubomoa makazi na majengo mengi ya watu
unaleta ushabiki maandazi badala ya facts..aliyekwambia Dom hakuna mzunguko wa fedha wa+uzalishaji naniπŸ˜†πŸ˜†
-Unajua idadi ya viwanda vilivyopo Dom(sekta moja tu ya Zabibu+mvinyo kuna viwanda karibia 20)
-Unajua idadi ya wanavyuo+watumishi wa Serikali Dom(UDOM pekeyakekuna elfu 40)n.k
-Kwa taarifa yako halmashauri ya jiji la Dodoma inaongoza kwa mapatoπŸ‘‡πŸ‘‡

Ukusanyaji mkubwa wa mapato TRA haimaanishi moja kwa moja uchumi mkubwa au vyanzo vingi vya mapato. Dodoma ni makazi ya serikali hivyo biashara nyingi na shughuli za kiuchumi zimesajiliwa rasmi kwenye mfumo wa kulipa kodi TRA tofauti na miji mingine ndo maana unaona makusanyo ya Tra yako juu lakini GDP iko chini kulinganisha majiji hayo
 
Attachments

  • IMG_1036.jpeg
    IMG_1036.jpeg
    205.7 KB · Views: 4
Ukusanyaji mkubwa wa mapato TRA haimaanishi moja kwa moja uchumi mkubwa au vyanzo vingi vya mapato. Dodoma ni makazi ya serikali hivyo biashara nyingi na shughuli za kiuchumi zimesajiliwa rasmi kwenye mfumo wa kulipa kodi TRA tofauti na miji mingine ndo maana unaona makusanyo ya Tra yako juu lakini GDP iko chini kulinganisha majiji hayo
hii thread inahusu Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji sio Dodoma mkoa vs Mwanza mkoa(wenye halmashauri nane).GDP inapimwa regionalwise sio citywise
 
Back
Top Bottom