Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
I have never been in the box my dear,the thing that you do no t know about me I know most of the things that you know and I know a lot of things that have been hidden from you because of the choice you made not to believe in the living God.
that's you, not him/her....
Ni kweli. Hakuna sababu ya kujadiliana.Tuu watu wawili tofauti. Wewe umebase fact zako kwenye dini na sayansi. Nazungumzia ulimwengu wa Roho. In other words you are talking about Forms while I am talking about Forms
Honestly, nimeusoma uzi mara moja, na kuuelewa vema kabisa. Nipe changamoto na experience ya maisha yako kabla ya kufahamu maarifa haya, na baada ya kuyaelewaRudia tena na tena kwa utulivu sana mpaka uelewe
Ila nahisi utakuw na ufahamu sana kuhusu power na nguvu ya KINYWA, EMOTIONS, will.Hakuna popobawa wala nini,
Ugumu tu wa maisha ndio unawafanya watu wanahisi vitu visivyokuwepo kuna ambao wamemuona mpaka Nyerere kwenye miti
Ukimsoma mtoa mada kaongea hoja nzito ,lakini kubwa zaidi ni majibu yapo ndani yako.Na kuna ambao wanawaamini wasoma vitabu vya majini wanajifanya ni witchcraft intelligent humu JF kumbe fix
Ungetoa fafanuzi kidgo. Watu wakapata mwanga, mimi nii nani?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kitu kikubwa ni kujitambua, kujua wewe ni nani? Na ukishatambua kweli basi hutohitaji kutumia nguvu nyingi katika maswala yako, kwasababu tayari utakuwa unaijua kweli,
mkuu naomba unisaidie nami kufungua jicho la tatu.Ukweli umejificha , maana maisha ni mchezo, wanaojua kucheza ndio wanaofurahia maisha. Jicho la tatu husaidia kujua ulimwengu uliojificha. Hakika wajanja watatumaliza tusiojua
Unafikiri kuna ulimwengu wa kiroho..?Bado nipo sana.
Huo sio wosia Bali kila mtu anapaswa kujua kweli, bahati mbaya ni kwamba elimu hii Afrika haijulikani tofauti na nchi za wenzetu
Tatizo la jukwaa hili upagani na uchawi mwingi mno! Uzi wako unatufundisha kumkataa Mungu, eti kwamba sisi wanadamu ndo kila kitu hakuna nguvu yoyote ina tu control!?
Nataka kukuambia, You are completely wrong! Kwanza ujue, nafsi ulionayo ama roho imetoka kwa Mungu, na chochote unachofanya liwe Jema au Baya utalitambua na utachukua uamuzi.
Ukitaka kujua upo free ama controlled chagua kufanya baya, wakati huo nafsi ikikushuhudia kwamba utendalo ni baya., hii ipo Automatic.
Nataka kusema, utakuwa huru tu pale utakapotenda lililo jema, na utakuwa mtumwa pale utakapotenda baya. Hii hutokana na roho ama pumzi ya Mungu tulio nayo sisi wanadamu.
Read btn lines.Sioni mahali ambapo mtoa mada amemkataa Mungu.
Wewe unatumia kipimo kipi kujua baya na Jema?
answer #232Read btn lines.
Jibu la swali lako lipo katikati ya quotes!
Kuhusu hiki ulichokiandika hapa kutoka kitabu cha Mhubiri, maana yake ni kwamba, Watu hawajui wapi wanaelekea - hawajui nini hufuata baada ya kufa. Huu ndiyo hasa ukweli na maana ya hicho ulichokiandika hapo.
Kwa ujumla kitabu cha Mhubiri kinahusu "Nini thamani ya Maisha?" Kitabu hiki ni mtazamo wa kiulimwengu. Tafiti na fikara za mwandishi wa kitabu cha Mhubiri ni, hasa za ulimwengu.
Mbona kama una hasira mkuu???Tatizo la jukwaa hili upagani na uchawi mwingi mno! Uzi wako unatufundisha kumkataa Mungu, eti kwamba sisi wanadamu ndo kila kitu hakuna nguvu yoyote ina tu control!?
Nataka kukuambia, You are completely wrong! Kwanza ujue, nafsi ulionayo ama roho imetoka kwa Mungu, na chochote unachofanya liwe Jema au Baya utalitambua na utachukua uamuzi.
Ukitaka kujua upo free ama controlled chagua kufanya baya, wakati huo nafsi ikikushuhudia kwamba utendalo ni baya., hii ipo Automatic.
Nataka kusema, utakuwa huru tu pale utakapotenda lililo jema, na utakuwa mtumwa pale utakapotenda baya. Hii hutokana na roho ama pumzi ya Mungu tulio nayo sisi wanadamu.
We umeshajipaka hiyo dawa ukaanza kuona hivyo vitu??Mkuu, kuna dawa ukipaka usoni na kunuia kama utakavyoelekezwa na sangoma, jicho la tatu litafunguka na utaona ulimwengu ulivyo. Kumbuka vitu unavyoviona kwa hayo macho mawili sivyo vilivyo.
Ungetoa fafanuzi kidgo. Watu wakapata mwanga, mimi nii nani?
Mimi ni jina nililopewa?? Mim ninahusisha kabila, dini, vinasaba? Mimi ni hisia nilizo nazo, mawazo niliyo nayo??
Vipi kuhusu msemo usemao aonavyo mtu nafsin mwake ndivyo alivyo.
Safari ya kujitambua inaanzia wapi? Whats initial point?
Sawa sawa mkuu ntamtafuta huyu Author nianze kupitia vitabu vyake ili kujiongezea maarifaHonestly, nimeusoma uzi mara moja, na kuuelewa vema kabisa. Nipe changamoto na experience ya maisha yako kabla ya kufahamu maarifa haya, na baada ya kuyaelewa
(Ukipata muda mtafute Dr. Bruce Lipton vitabu vyake vya kufaaa sana)
Mkuu nafahamu uwepo wa nguvu mbali mbali ndani yetu, ila kuhusiana na swala la kuwepo viumbe wengine bado naendelea kujifunzaIla nahisi utakuw na ufahamu sana kuhusu power na nguvu ya KINYWA, EMOTIONS, will.
Wafahamu pia, hali inawezwa tengenezwa just kwa kuruhusu masafa flani kwa watu. Huwepo wa warukao usiku, astral projections na mengine, je unaamini huwepo wa roho zingine tofauti na binadamu¿??