@
Zitto Junior
dont panic just cool down. sawa cool down kijana. ngoja tukueleze sis ambao tunafahamu maana inawezekana kila siku unakutana na watu wasiofahamu wana kariri maneno yako na kudhania jinsi ambavyo umesoma kwenye mitandao na kutafsiri ni sahihi. na bahati mbaya you dont even aknowledge. jibu haya maswali
hizi ndo sifa za
alivyokuwa Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?
kama hamwelewi maandiko kwa nini msiwaulize wanaoelewa? hizi sifa katika maisha ya yesu nitajie zinapatikana katika kitabu gani. na je kooote kwenye vitabu vyote vya injili wapi wamemzungumzia yesu hivi? au vitabu vya kinabii?
Ufunuo 1:16b...... na uso wake kama jua ukingiaa kwa nguvu zake."
Yesu alipokuwa Duniani alikuwa na sifa hizo? unafaham kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa ajili ya nyakati gani? nyie hamchelewi kusema pia yesu ni kondoo maana imeandikwa "tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya dunia" haya mambo siyo ya kukariri au ukisoma kwenye mtandao unakuja kutafsiri huku kuwalisha matango pori wasio na uelewa.
Ufunuo 1
nikusaidie kitu. nenda pale udsm zamani ilikuwa ikiitwa ARCHAEOLOGY UNIT . kamuulize Dr Saanane au Dr Bushozi ( kwa uchache tu) atakwambia mimi ni nani. Mimi nimefanya Degree ya Archaeleogy (UDSM) na Masters ya Anthlopology Huko USA. sasa wewe kaa kudanganya watu. ukiwa challenged una panic na kujidai kutishia tishia watu na shule yako ya diploma. unachofanya wewe ni "kusoma soma" kwenye mitandano then una tafsiri basi unaona tayari wewe ni mtalaamu. ukikuta vilaza basi wanakuona kweli we mtaalamu.
14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na
macho yake kama mwali wa moto;
1
5 na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kana kwamba imesafishwa katika tanuru; na s
auti yake kama sauti ya maji mengi.