Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #41
Sijatengeneza mada nyingine
Nimeuliza jee Kuna ushahidi wowote wa ku cancel hiyo cover Au ikituhumiwa ATC tunapaswa kuamini Hata Kama Hakuna ushahidi?
Wakitoa ufafanuzi bila ya ushahidi Na wao utaamini?
Wakisema 'Si kweli' utakubali utetezi wao Au utalazimisha waweke ushahdi?
Kuna ushahidi umeletwa ku cancel hiyo insurance?
Yaani Mtu anaibuka anasema Insurance imekuwa Cancelled Halafu tunataka ATC wakanushe badala ya kuwataka walioleta hizo tuhuma walete ushahdi kwanza?
Mpwa, Hebu soma vizuri concern yangu, lengo ni kujua ukweli tu, haya mengine ya ushahidi ni Secondry stage
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaandika very professional, naona mtiririko mtupu wa Logic! ATCL Waje watoe ufafanuzi, hakuna ugomvi! Ndege ni zetu na Roho ni zetuUkiwa na historia ya kusema uongo inakuwa rahisi watu kutoamini pale utakaposema ukweli. Ni mara ngapi tumetangaziwa jambo linalohusu ATCL na lisiwe? Kwani mara ya kwanza kutangazwa safari za India na China ilikuwa lini (na mabango ya biashara ya safari hizo yakawekwa barabarani)? Safari hizo zipo leo?
Alietoa hiyo hoja katoa na challenge pia kuwa anasubiri mtu abishe ili atoe proof. Sasa si usubiri wahusika wabishe ili proof itolewe au isitolewe ili ujue ukweli uliopo?
labda wamekata sedi patiMimi nakuhakikishia Kama huna insurance huna uwezo wa kurusha Ndege Hata nchini mwako
Hata Ndege Za Kijeshi lazima zikatiwe Insurance
Kujua ukweli ni kupata strength ya tuhuma kwanza ili defence ikiwa nyepesi uweze kumbana Mtuhumiwa
Lakin ukikubali kupokea tuhuma bila ya strong evidence jiandae Pia kupata utetezi hafifu kwa Kuwa anaejitetea Siku zote utetezi wake una base Kwenye evidence ya tuhuma zilizoletwa
Serikal ilipata Shida Sana Kwenye sakata la 1.5 Trillion kwa Kuwa tuhuma ziko base Kwenye evidence zilizoshiba
Tukitaka kuwabana vyema ATC lazima kwanza tuwabane watoa tuhuma kuhusu ushahdi
Mtoa kaona Twitter tu hajui chochote kile kuhusu maswala ya usafir wa anga
Tunachoomba tuletee ushahid wote na hzo documnt zilizo kuwa cancelled na lini zilikuwa cancelled na sababu zipi zilifanya kuwa cancelled?
Intelligent people are full of dou..... While stupid people are full of confidence.
Usilete hoja kwa mahaba leta hoja kama great thinker tumia ubongo wako kuwa fikirish kabla hujaleta post ukiwa na key evidence zote.sio watuhumiwa waje akane ndio upate cha kuongea.
Huo utabir wenu wa ramli hauwez fanikiwa labda labda kwa mjinga asiejua investigation inakuwaje na conclusion ya investigation inakuwaje
Kuna ushahidi wa mazingira pia. Ngoja nikuulize; ATCL imerudishiwa uanachama wa IATA?
umenifurahisha asubuhi hiiHuo uongo usio kuwa na kichwa wala miguu hizi ndege kila siku zinatungiwa mistari ya mipasho zimevumilia sana kwa sababu ni za kizungu zingekuwa za Kiafrika zinge vimba na kupasuka
Ngoja nam nikuulize swali mana we we hukutaka jibu swali kama nilivyo uliza kwann serikali imeanza kuandaa safar za kimataifa na kwa kupasua angani Bombay mpaka huko kwa jack chain na kwingneko?
Kwanza ilisemwa Dreamliner hairuki kwasababu mbovu, sasa hairuki kwasababu haina insurance! Najaribu kufikiri ingekuwaje kama ile ndege ya Ethiopia ingekuwa ya ATCL
Mwambie huyo anaesema insurance imesitishwa aweke ushahidi na si maneno tu. Aweke evidence tuwakaange ATCL. Yamesemwa mengi sana kuhusu hizi ndege lakini bado zipo tuMkuu, Insurance imekua cancelled baada ya kushindwa kulipa sio kwamba wamenunua bila Insurance, usipindishe hoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo serikali haijaanza leo "kuandaa safari za kimataifa". Hiyo taarifa ni ya tangu 2017; je hizo safari zimeanza lini? Ukweli ni kuwa ndege za ATCL hazijapewa international clearance. Ni jambo moja kwenda Zambia na Zimbabwe (shitholes kama bongo tu), lakini ni jambo jingine kwenda kwenye international hubs. Mbona Johannesburg au Nairobi haziendi?
Dreamliner moja haiwezi ku-operate hizo route. Lazima ziwe at least mbili, hio itaenda China only ile ingine ikija.Haya tuambie wewe. Mbona safari za China na India (na tulitangaziwa ndio lengo la kununua ndege hiyo uliyoitaja ili kuongeza idadi ya watalii) hazijaanza muda wote huo?