Tetesi: Je, ni kweli kwamba ndege ya ATCL, Boeing 787-8 Dreamliner haina Insurance?

Status
Not open for further replies.

tuhuma zingekuwa zimejitosheleza,mleta tuhuma asingetaka ATCL waseme kwanza.Let say ATCL wasipojibu,then what?Mtu kama unatuhuma zimekamilika na una ushahidi wa kuaminika kwanini usubiri mtuhumiwa aongee kwanza?Hii inamaana mtuhumiwa asiposema chochote utayafumbia macho makosa yaliyotendeka?
 
Kama huna Insurance huwezi kurusha Ndege zako especially Kimataifa

Juzi Kati ATC imerusha Ndege kwenda Zimbabwe Na imepita Anga mbalimbali bila ya Vikwazo
Hii habari Ni ya UOngo
Mlianza na ndege ya abiria kupeleka nyama ya mbuzi Dubai,mkarud,ndege Kama fuso za kukodi!tumeshindwa surface transport tutaweza airlines. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mawazo ya watu wanaofanya ramli chonganishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aweke ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uongo usio kuwa na kichwa wala miguu hizi ndege kila siku zinatungiwa mistari ya mipasho zimevumilia sana kwa sababu ni za kizungu zingekuwa za Kiafrika zinge vimba na kupasuka
Kwani ndege zinabebaga ujauzito?

Jr[emoji769]
 
Tuhuma zingekuwa na nguvu kama angeweka vielelezo alivyonavyo. Vinginevyo sidhani kama sina nguvu ya kuathiri biashara. Kampuni au shirika lolote litakuwa linatuhumiwa kwa jambo moja au jingine mara kwa mara lakini linajibu tu pale tuhuma zinapoonekana kuwa zina logic na zimetololewa zikiwa na vielelezo. Vinginevyo kampuni au shirika inaweza kujikuta inalumbana na wajinga wajinga wasio na kazi wanaotaka kuvuruga mambo. Kwa mfano hapa kuna thread moja kichaa mmoja kafungua anatuhumu kuwa kampuni ya Boeing ni Freemanson na ndege kama Ethiopian iliyopata ajali ni wao wametoa kafara! Je, Boeing ijibu ujinga kama huu?
 
Kwanza tuelewane ni 'bima' sio inshulensini sijui nini ok?
Halafu mbona hamjauliza bima za DART, Mv. Vitoria, Mv. Bukoba, Mv. Nyerere, Treni za Mwakyembe na tazara?
Au hivyo vinabeba kabichi?
 
Hizi ni hisia zako wewe mwenyewe na unaonyesha kiasi cha ujinga uliokujaa kichwani.....ndege hazina insurance hayo mengine ni upumbavu wako hayaongelewi humu......jibu hoja acha kujipaka mavi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…