Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je madawa Hospitalini yenyewe ni salama? Tuanzie hapo kwanza
Sio salama, wajanja tunajitibu kwa tiba mbadala. Punguza au acha kabisa kutumia sukari, pombe na nyama.Je madawa Hospitalini yenyewe ni salama? Tuanzie hapo kwanza
Ndizo zilizojaaa.Nikiwa sokoni ntatambuaje kwamba hii bidhaa ni organic na sio GMO?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hivi Waafrika hua mnajikuta kina nani labda? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi wazungu wakuue wewe kwa kipi hasa? Muafrika sio tishio kwa maendeleo ya mzungu kwa njia yoyote ile, mzungu hana sababu yoyote ya kumuua muafrika. Na kama mzungu angetaka kutuangamiza mbona tungeshaisha zamani sana? Kwanza wao wanatutegemea sisi kama soko la bidhaa zao nyingi, na pia kama watumwa wa kuzalisha mali na kuwauzia kwa bei ya chini, wakituua hizo bidhaa zao watauza wapi?
Hebu acheni hii mijadala ya kupotezeana mda bana..
Mkuu, haujaona maembe yasiyokuwa na kokwa ama ndimu/chungwa lisilokuwa na mbegu?Mimi nilipoona kuwa sasahv kuna parachichi ambazo hazina kabisa mbegu na zinalimwa Tanzania nikaogopa sana. Kama sio kumjaribu Mungu ni nini
View attachment 2396342
Hivyo vyakula watakula wengine mimi sitakula kabisa,nakula chakula nilicholima mwenyewe kwa mkono wangu,mbolea natumia ya wanyama nao fuga mwenyewe,madawa natumia ya kienyeji nina mwaka wa 15 sijawahi kwenda hospital,tusipende vyakula vya super market,vyakula vyote.vitamu vina madhara,tukianza na kuku hao wa kisasa,cake,biriani,pilau,chips, pizza n.k basi kwanini tusile mihogo ya kuchemsha,majimbi,ndizi,viazi tule kama walivyofanya.wazazi wetu,mikakati ya wazungu ni kupunguza idadi ya watu duniani,ndo maana wa kaleta corona,ili chanjo zitumike kupunguza idadi ya watu,wazungu walishangaa sana mbona watanzania hawapati corona,ili kuendeleza kizazi cha utu mweusi ni bora kuepuka kula artificial foodsMatumizi ya simu mlisema INA miale ya kuua kizazi!
5G MLISEMA INAUA KIZAZI!
ARVs mlisema zinaua kizazi!
Broilers mlisema....
Mayai ya kisasa....
CHANJO YA CORONA mlisema zinaua kizazi
ILA YOTE MLIBANA MKAACHIA.
GMO haina ujanja tutatumia tu!
HatariMimi nilipoona kuwa sasahv kuna parachichi ambazo hazina kabisa mbegu na zinalimwa Tanzania nikaogopa sana. Kama sio kumjaribu Mungu ni nini
View attachment 2396342
Umewahi kuona shamba la nani mkuu au umeona tu mtandaoni?Mimi nilipoona kuwa sasahv kuna parachichi ambazo hazina kabisa mbegu na zinalimwa Tanzania nikaogopa sana. Kama sio kumjaribu Mungu ni nini
View attachment 2396342
Tanzania hatuna sera ya kimasoko kwa bidhaa za kilimo ambazo ziko mtindo wa kilimo hai (Organic) kitu pekee ambacho hatukijui kilimo hai ni kigumu na gharama na kina hasara sana, kingine kwa nchi yetu bei haiko juu, kama uko Moro nenda Sat au tembelea maeneo ya ofisi za SwissAid. But kuna certification ili uwe mkulima wa kilimo hai kwa certifies wa kimataifaNikiwa sokoni ntatambuaje kwamba hii bidhaa ni organic na sio GMO?
bro naiona nembo ya chama hpoIkiwa hiyo ni kweli au la, haibadilishi ukweli kwamba karibu tafiti zote za kupambana na GM hadi sasa zimekataliwa au zimefutwa - zimetolewa na jumuiya ya kisayansi kwa kutumia mbinu za kupotosha, zisizo za kisayansi.
View attachment 2396394
Well said mkuuKatika miaka ya hivi karibuni Watanzania tumekua tukisikia kuhusu swala la kuwekeza katika kilimo ambacho wanasiasa wanakiita "KILIMO CHA KISASA" ambacho kinahusisha utumiaji wa mbegu ambazo ni Genetically Modified. Lakini ni nini hasa maana ya GMO?, Je ni salama kwa kula?.
GMO ni aina ya mbegu na mimea ambayo imebadilishwa vinasaba (genes) katika maabara ili kuboresha aina fulani ya traits au tabia inayohitajika, kwa mfano kuongeza virutubisho, na kuongeza uwezo wa kujikinga na madawa.
Marekani ndio inaongoza kwa utengenezaji wa aina hii ya mbegu zikizambazwa na makampuni kama Monsanto, Syngenta AG, na DOW Chemicals ambazo nyingi tumekua tukiziona nchini. Hatari zitokanazo na aina hii ya mimea ni nyingi kuliko faida, na nchi nyingi duniani tayari zimezuia matumizi ya aina hii ya mbegu ikiwemo Canada, Argentina, Australia, India na Mexico na msimamo wa EU Ukiwa "Zuia GMO".
Nilibahatika kukaa na msomi mmoja wa Chuo Kikuu Cha elimu ya juu cha Nelson Mandela na akanitajia baadhi tu ya athari nyingi zikiwemo; Kuharibu mfumo wa ikolojia, kuharibu ama kubadilisha kabisa virutubisho katika mimea, Kansa, kuharibu rutuba ya ardhi na kusababisha wakulima kua tegemezi wa madawa ya kilimo, kujitokeza kwa magugu ambayo yanajikinga na madawa ya kuua magugu, na hasara kwa wakulima kutokana na ununuzi wa kiasi kikubwa cha madawa.
Faida chache alizonitajia ni pamoja na ongezeko la mimea inatojikinga na wadudu na magonjwa, kuongezeka kwa food supply, na kua na mimea inayostahimili ukame. Pia aliniambia "Hakuna Mwanasayansi duniani ambaye yuko serious atakayetoa support kwa GMO, UNLESS yuko katika payroll ya hayo makampuni", kwa sababu kiuhalisia, ni makampuni ya Biotech ambao ndio watengenezaji na wasambazaji watakaonufaika kutokana na mauzo ya mbegu na madawa!
Swali la kujiuliza; Je ni Watanzania wangapi wanazijua athari zitokanazo na GMO's?, au wengi wetu tumeangalia faida za kiuchumi kuliko athari za kimaziangira na kiafya?. TUAMKE NDUGU ZANGU
Hizo ni aina na sio kwamba injinia imefanyika, matunda inahusu sana njia ya asexual yaani haitegemei kuchavusha au mbegu katika kuzunguka kwake sana sana ila kwningine ni zile zinazotumia mfumo wa mbegu katika kujizalisha yaani sexual reproduction. Ndio maana pichani wameweka nafaka na mbogamboga mkuuDah! Lahaullah! Alafu kwao ndio wanalima zaidi ya huku kwetu! Ila inatisha unapokutana na chungwa, pera au embe ndani halina mbegu au kokwa! Ukalila ukitegemea na ww ukatoe Mbegu thubutu!