Je, ni kweli kweli kuwa wale wanaume wenye makebo makubwa ni masuala la hormones?

Je, ni kweli kweli kuwa wale wanaume wenye makebo makubwa ni masuala la hormones?

Wakuu, inasemekana kuwa mwanaume mwenye makebo makubwa Kunauwezekano mkubwa kuwa amasharuhusu wahuni kuzama gentani mwake.

Watu wengine wanadai kuwa huenda mwanaume kuwa na makebo makubwa husabanishwa na masuala la hormones.

Watu wengine wanasema ulaji wa hovyo; kubugia chipsi, ni Moja ya visababishi vya mwanaume kuwa na Makebo makubwa.

Sasa kutokana na sintofahamu hii, naomba tusaidiane kujua iwapo mwanaume anaweza kuwa na makebo makubwa kisa ameruhusu wazamiaji katika genta yake au la.

Inasikitisha kuona mwanaume ana makebo makubwa kuliko baadhi ya wanawake kiasi cha dada zetu kuona wivu pale wanaume wa namna hii wanavyolitingisha wakatizapo mitaa 😭😭.

Cc Chizi Maarifa,
ELI COHEN,
Financial Analyst.
Kama alivyo Bashite?
 
Back
Top Bottom