Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
Vinakataa kwasababu huo umri ndo vinakuwa vinaliwa haswa vinakuwa bad havijatosheka maana ukiangalia hapo wengi waliosoma wanakuwa ndo wako A-level to University maana huo ndo muda mzuri kwa wao kutumika ingawa kuna wengne wanaanzia o level na msingi pia kwa kizaz cha sasa viache tu viliwe ndo miongoni mwa haki zao kuna kitoto hapa kina miaka 21 nilisikia kinasema kimeshawachoka wanaume