Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Chai tu za vijiwe vya kahawa bongo ,mbona watafiti wanahimiza wanaume tufanye kwa mara kwa mara kwa sababu inaimarisha nguvu za kushiriki tendo ?
 
Wewe kuwa muwazi mkuu kuwa shida yako ni kuwa na makalio & umbo namba nane ukimbize mjini


Kwani zoezi ni moja tu
 
Kuna mamodo wa kiume ambao wanapendaga kulaga karoti kinyumenyume ndo hulitumia hilo zoezi vibaya. Vinginevyo ni zoezi bora kabisa.
 
Usifike chini na kubinua makalio kwa nyuma, utapata shape ya kike wakumendee
 
Ukiona manyoya.......
 
Squat ambayo ukifanya unaenda moja kwa moja chini mpaka makalio yanakaribia kugusa visigino alafu wakati huo huo ukawa kichwa umeelekeza mbele(kama umeinamia mbele flani) ukifanya hivyo ndio unaongeza makalio.

Kwa sababu ukiwa katika hyo position ukifanya squat ule uzito unaenda moja kww moja kwenye makalio na kutanua muscles za makalio na kufanya yaongezeke ukubwq.

Lakini sqats hizo hizo ukifanya kwa namna ya kunyooka na usifike chini kwbisa ukawa unaishia juu tu basi hapo unaongeza misuli ya mapaja na sio makalio.

Mfano wa hyo squat ya hapo pichani ndio skwat ambayo haiongezi makalio na ndio wanaume wwnafanya skwati za aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…