Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Afya ya trrrako au sio?Fanya mazoezi kwa afya wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya ya trrrako au sio?Fanya mazoezi kwa afya wewe
Na awe na tuzi ya kufa tembo....Fanya zoezi uwe fit
ushahid chunguza wapiga squart wengi wa muda mrefu wana vishuzi kitako lazma kisogee nyumaKwaiyo hakuna ukwel juu ya kufanya squat na shida iyo
Sielewi kama ni hizo ila nilipo anza mazoezi nilipiga sana hizo na kuja kukuta naona kijungu kimetokezea .Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu
Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8.
Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8.
Je, kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume.
Msaada tafadhali!
View attachment 2158889
Ungeweka pichaHivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu
Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8.
Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8.
Je, kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume.
Msaada tafadhali!
View attachment 2158889
kumbe mwoga weweKuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.
😲😲😂😂😂😂😂 Ukafanyaje sasa?au umeridhika nalo?Sielewi kama ni hizo ila nilipo anza mazoezi nilipiga sana hizo na kuja kukuta naona kijungu kimetokezea .
Ni moja ya zoezi zuri sana hii squat, sasa sisi wanaume hatuna shida sababu hatuna hips za kujaa kama kina KE.Kuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.