Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
- Thread starter
- #41
Asante Sana ndg nimekupata vzrSquat ambayo ukifanya unaenda moja kwa moja chini mpaka makalio yanakaribia kugusa visigino alafu wakati huo huo ukawa kichwa umeelekeza mbele(kama umeinamia mbele flani) ukifanya hivyo ndio unaongeza makalio.
Kwa sababu ukiwa katika hyo position ukifanya squat ule uzito unaenda moja kww moja kwenye makalio na kutanua muscles za makalio na kufanya yaongezeke ukubwq.
Lakini sqats hizo hizo ukifanya kwa namna ya kunyooka na usifike chini kwbisa ukawa unaishia juu tu basi hapo unaongeza misuli ya mapaja na sio makalio.
Mfano wa hyo squat ya hapo pichani ndio skwat ambayo haiongezi makalio na ndio wanaume wwnafanya skwati za aina hiyo.