Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Kwahio great thinkers mnajuaga wanaume hatuna hormone tunazoita za wanawake na wanawake hawana hormone tunazoita za wanaume?

Hormone nyingi zipo kwa kila jinsia ila what matters ni proportionality yake tu
Levels-of-serum-progesterone-in-men-and-women-of-control-and-patients-with-type-2.jpg


Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa hilo zoezi linaongeza Tako tena kwa spidi sana na kinakua Kijungu haswa.
 
Mwanaume na makalio makubwa tena yesuuuuh![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mkuu acha wasiwasi na maisha, uliza kama kuna askari yeyote hapa ama kwa yeyote mwenye idea akuambie ni zoezi gani pendwa la kutesa mwili kama sio kuruka uchura na kubeba vifurushi ( squat).

Na naamini unaona mwenyewe askari wa Jeshi letu walivyo na ustahimilivu wa miguu, sasa niambie hayo matako yametoka kwa nani??
 
Chai tu za vijiwe vya kahawa bongo ,mbona watafiti wanahimiza wanaume tufanye kwa mara kwa mara kwa sababu inaimarisha nguvu za kushiriki tendo ?
Hakuna ukweli wowote nina zaidi ya miezi sita nikimaliza mazoezi ya mbio beach nafanya na ya viungo likiwemo hilo kilichoongezeka ni uwezo mzuri wa kuchakata ngozi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukweli wowote hilo zoezi watu tunapiga Sana tu na hakuna tako Wala nn,

Hyo kwa wanawake wakipga kwa kubinua makalio ndio yanaongezeka kwakuwa homoni zao zinaruhusu hvo ila mwanaume huwez kubadilika

Mfano wanaum tukipga gym huwa tunakomaa na kutoka misuli ila wanawake hawatoki misuli na wanakuwa walaini tu kwakuwa homoni zetu zipo tofAuti

Kwahy hzo ni chai tu watu tunapiga squatt na hakun kalio zaidi ya kuwa imara misuli ya miguu
 
Back
Top Bottom